Lipumba asuswa ziarani Tanga

Lipumba asuswa ziarani Tanga

Dhambi ya usaliti ni mbaya sana "Bwana Yule " wanaomshabikia wengi wanatakiwa kupimwa akili tumeambiwa watanzania wengi vichaa. Utafiti.
 
Mbona hauji kujibu hoja kule kwenye uzi wa....

Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA.
Karibu kwenye uzi wa...

Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA.

Kuna hoja zako kule hujazijibu
Wewe, mbona bado hujajitoa mpaka leo?
Utafiti unaonyesha watanzania zaidi 450,000 ni vichaa kati ya watu wanne mmojawapo mmoja ana tatizo siwashangai nyie.
mbona huongelei madiwani wa cuf jiji la tanga kukubali kufanya kazi na ccm
 
Uongozi wa CUF wilaya ya Tanga umeonyesha ukakamavu wa hali ya juu , baada ya kugomea mapokezi ya msaliti Lipumba , uongozi huo pia umeweka angalizo kwa wanachama wake kumuepuka lipumba mithili ya ugonjwa wa ukoma , na kwamba atakayeshiriki mapokezi ya Lipumba atavuliwa uanachama .

Hayo yalibainishwa na Mwenyekiti wa cuf wilaya , Mh Rashid Jumbe mbele ya waandishi wa habari , ambapo alikazia maamuzi halali ya Baraza kuu kwa kusema Lipumba alishafukuzwa uanachama .

Chanzo - Nipashe

MyTake - Usaliti ni laana mbaya mno !
Safi.Mwisho wa ubaya aibu.
 
Hii DOUBLE STANDARD sijui maana yake nini,Hivi kesho LOWASSA au MBOYE akitangaza atazunguka nchi nzima kufanya mikutano POLISI watakuja na kauli gani?Hebu waache UNYANYASAJI,kama ni sheria imewekwa hakuna mikutano basi isiwe ni kwa Kundi fulani tu.Hii Africa hii!!!!!
mbowe na EL wamenywea kwa JPM. Hawana ubavu.
 
Huyu mzee kwanini anajiaibisha hivi?
Yaani inasikitisha sana. Watu kama akina Mrema, Shibuda, Cheyo na Hamad Rashid wakifanya hayo tunawaelewa na hatuna muda wa kupoteza kuwajadili. Lakini sasa Profesa daraja la kwanza! You can't believe. Amejiuzulu mwenyewe kwa hiari, akaita waandishi wa habari kuutangazia ulimwengu, akaondoka ofisini, akasema atabaki kuwa mwanachama mara ghafla anarudi na kusahau yote! Ina maana akili zimemruka kiasi hiki?!
 
Kinachonishangaza ni kwanini wana Chadema mnashadadia sana huu mgogoro wa CUF na kuacha ya kwenu?inaonyesha mnamuogopa Lipumba,pia inaonyesha Chadema mna ajenda zenu za siri juu ya CUF huku bara,Mwalafyale hebu kumbuka msemo wa ''Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime'' wakipatana utakuja aibika.Kamsaidie Dr Mashinjikuimarisha Chadema kwanza
Source ni gazeti la Nipashe , sasa ukinitwisha jumba bovu mimi utakuwa unanionea tu mkuu .
 
IGP yuko wapi sasa atupe ufafanuzi kama mikutano ya hadhara imeruhusiwa na watu wasiokuwa na majimbo ya uchaguzi kuzunguka kila mahali wakifanya mikutano. Vinginevyo na viongozi wa vyama vingine nao waitishe mikutano kama anavyofanya Lipumba na wapewe ulinzi pia
 
Niliona habari za saa kama saa 10 jion CLOUDS TV wakisema kule Mtwara wanachama wa CUF wamekana kumtambua Prof kama Mwenyekiti wao.

Hiyo poa sanaa. Asituharibie upinzani lofa huyu. Asurubiwe na aogopwe kama Ukoma.

Ninavyomchukia sasa hivi, basi tu. Naona hili jitu halijipendi. Tulipotezee tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom