Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,453
- 283,788
Uongozi wa CUF wilaya ya Tanga umeonyesha ukakamavu wa hali ya juu , baada ya kugomea mapokezi ya msaliti Lipumba , uongozi huo pia umeweka angalizo kwa wanachama wake kumuepuka lipumba mithili ya ugonjwa wa ukoma , na kwamba atakayeshiriki mapokezi ya Lipumba atavuliwa uanachama .
Hayo yalibainishwa na Mwenyekiti wa cuf wilaya , Mh Rashid Jumbe mbele ya waandishi wa habari , ambapo alikazia maamuzi halali ya Baraza kuu kwa kusema Lipumba alishafukuzwa uanachama .
Chanzo - Nipashe
MyTake - Usaliti ni laana mbaya mno !