Lipumba asuswa ziarani Tanga

Lipumba asuswa ziarani Tanga

Chadema watachemka tu, kafu majority wanamtaka professa wao.
 
Huyo ndie anachochea vurugu CUF na sio CCM,kwa kipi na maslahi gani CCM wavuruge wanaocheza ligi ya mbuzi,wakati CCM wapo Premier bana
heeee tumefika huko mkuu? ninachoamini magufuli aache wenzie wawe huru kufanya siasa eti kisingizio cha kufanya kazi! Nafikiri ndio tutajua nani yuko premier legue au laa!!
Ila sio unaweka mpira kwapani halafu unasherkea ushindi....
 
Uongozi wa CUF wilaya ya Tanga umeonyesha ukakamavu wa hali ya juu , baada ya kugomea mapokezi ya msaliti Lipumba , uongozi huo pia umeweka angalizo kwa wanachama wake kumuepuka lipumba mithili ya ugonjwa wa ukoma , na kwamba atakayeshiriki mapokezi ya Lipumba atavuliwa uanachama .

Hayo yalibainishwa na Mwenyekiti wa cuf wilaya , Mh Rashid Jumbe mbele ya waandishi wa habari , ambapo alikazia maamuzi halali ya Baraza kuu kwa kusema Lipumba alishafukuzwa uanachama .

Chanzo - Nipashe

MyTake - Usaliti ni laana mbaya mno !
Kadata huyuu babu sio bure duuuuu
 
Lipumba ni kichwa. Anayoyafanya mtaelewa miaka kumi ijayo. Hata manabii hawakueleweka kwa wapumbavu, or samahani kwa wajinga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom