Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,635
...na kisha kujinyonga...?Labda nayeye muda ukifika ataenda kuvitupa vile vipande therathini hekaluni.
...na kisha kujinyonga...?Labda nayeye muda ukifika ataenda kuvitupa vile vipande therathini hekaluni.
Mkuu utakua huoni vizuri,anachofanya lipumba sio mikutano ya siasa bali ni mikutano ya INJIRII, ndio maana police hawamzuii.na ukome kuleta uchochezi humu jf maana haiwezekani mtu afanye mikutano ya injirii wewe useme ni ya siasa.Hii DOUBLE STANDARD sijui maana yake nini,Hivi kesho LOWASSA au MBOYE akitangaza atazunguka nchi nzima kufanya mikutano POLISI watakuja na kauli gani?Hebu waache UNYANYASAJI,kama ni sheria imewekwa hakuna mikutano basi isiwe ni kwa Kundi fulani tu.Hii Africa hii!!!!!

Huku tushaandaa vibokoSiku tutasikia profesa kapigwa mawe , hii ni soo .
Hii imechuja sana , unayo nyingine uweke ?Wewe, mbona bado hujajitoa mpaka leo?
Hii ilitokea mahakama kuu kwenye mgogoro wa Zitto , Kambaya aliprint fulana za cdm na kuwavisha mateja wa Temeke mikoroshini ili wafanye fujo , lakini tulimdhibiti kwa style ya TANGANYIKA JEKI .Wanaccm wanaweza vaa jezi zenu then wakampokea kwa bashasha muwe makin
Hivi unajua maana ya terminology DOUBLE STANDARD Au umekariri?Hii DOUBLE STANDARD sijui maana yake nini,Hivi kesho LOWASSA au MBOYE akitangaza atazunguka nchi nzima kufanya mikutano POLISI watakuja na kauli gani?Hebu waache UNYANYASAJI,kama ni sheria imewekwa hakuna mikutano basi isiwe ni kwa Kundi fulani tu.Hii Africa hii!!!!!
Msaliti wa mabadiliko ya kweli ni Mbowe. Kwa nini auze chama kwa Mafisadi wa ccm?Uongozi wa CUF wilaya ya Tanga umeonyesha ukakamavu wa hali ya juu , baada ya kugomea mapokezi ya msaliti Lipumba , uongozi huo pia umeweka angalizo kwa wanachama wake kumuepuka lipumba mithili ya ugonjwa wa ukoma , na kwamba atakayeshiriki mapokezi ya Lipumba atavuliwa uanachama .
Hayo yalibainishwa na Mwenyekiti wa cuf wilaya , Mh Rashid Jumbe mbele ya waandishi wa habari , ambapo alikazia maamuzi halali ya Baraza kuu kwa kusema Lipumba alishafukuzwa uanachama .
Chanzo - Nipashe
MyTake - Usaliti ni laana mbaya mno !
Hata aibu huoni? Umekua kama Yericko Nyerere.Hii imechuja sana , unayo nyingine uweke ?
Niliona habari za saa kama saa 10 jion CLOUDS TV wakisema kule Mtwara wanachama wa CUF wamekana kumtambua Prof kama Mwenyekiti wao.Safiiiiii. Hongera wanaTanga na mpeni Matanga huyu msaliti.
Mikoa mingine ni lazima iige picha hiyo. Hongera tanaaaa.