Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,543
Ya lini hiyo thread? Ahamie mara ngapi?Mbona hauji kujibu hoja kule kwenye uzi wa....
Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA.
Ya lini hiyo thread? Ahamie mara ngapi?Mbona hauji kujibu hoja kule kwenye uzi wa....
Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA.
Nadhani wameona lipumba ni Kama kachanganyikiwa hivi, sasa wanamuacha tuu.Hii DOUBLE STANDARD sijui maana yake nini,Hivi kesho LOWASSA au MBOYE akitangaza atazunguka nchi nzima kufanya mikutano POLISI watakuja na kauli gani?Hebu waache UNYANYASAJI,kama ni sheria imewekwa hakuna mikutano basi isiwe ni kwa Kundi fulani tu.Hii Africa hii!!!!!
Ukawa ndo nini? Nani alikuambia siasa INA majuto. Imani zetu ndo zinatupa nafasi ya kujuta na sio siasa. Kuna viongozi humu duniani ukiwauliza wanaongozaje hawajui na hulazimisha watu waamini kuwa wao ni viongozi kumbe ni wehu tu na tamaa zinawaongoza.Tanga wanatumika na UKAWA watajuta siku moja
Upo Simiyu mkuu? Cuf wamemkubali sele bosiNani kakudanganya ? Ngoma ya umeya Tanga bado mbichi sana .
Huyu mzee ningekua na uwezo angekula risasi mbili za kichwa.
Au ningekua na sniper ningemtugulia mbali tu.
Alafu sielewi hawa wanaohudhuria mikutano yake inamaana hawajui whats goin on??
Kinachonishangaza ni kwanini wana Chadema mnashadadia sana huu mgogoro wa CUF na kuacha ya kwenu?inaonyesha mnamuogopa Lipumba,pia inaonyesha Chadema mna ajenda zenu za siri juu ya CUF huku bara,Mwalafyale hebu kumbuka msemo wa ''Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime'' wakipatana utakuja aibika.Kamsaidie Dr Mashinjikuimarisha Chadema kwanzaUongozi wa CUF wilaya ya Tanga umeonyesha ukakamavu wa hali ya juu , baada ya kugomea mapokezi ya msaliti Lipumba , uongozi huo pia umeweka angalizo kwa wanachama wake kumuepuka lipumba mithili ya ugonjwa wa ukoma , na kwamba atakayeshiriki mapokezi ya Lipumba atavuliwa uanachama .
Hayo yalibainishwa na Mwenyekiti wa cuf wilaya , Mh Rashid Jumbe mbele ya waandishi wa habari , ambapo alikazia maamuzi halali ya Baraza kuu kwa kusema Lipumba alishafukuzwa uanachama .
Chanzo - Nipashe
MyTake - Usaliti ni laana mbaya mno !
Huwa hatuanzi na kuwa na watoto, tunaanza na kuwa na mke. Sasa hana mke watoto watatoka wapi mkuu? Kwenye jamii watu kama hawa huwa wa ajabuajabu sana.Hivi Lipumba ana watoto kweli?
Kumbe ulitaka wafanye kazi na nani kwa mujibu wa taratibu na katiba?mbona huongelei madiwani wa cuf jiji la tanga kukubali kufanya kazi na ccm
Kwa Hiyo Tutarajie Msiba?Labda nayeye muda ukifika ataenda kuvitupa vile vipande therathini hekaluni.
Mshahara wa dhambi ni mautiKwa Hiyo Tutarajie Msiba?
vile vile kwanini ccm wanachochea sana lipumba kurudi?Kinachonishangaza ni kwanini wana Chadema mnashadadia sana huu mgogoro wa CUF na kuacha ya kwenu?inaonyesha mnamuogopa Lipumba,pia inaonyesha Chadema mna ajenda zenu za siri juu ya CUF huku bara,Mwalafyale hebu kumbuka msemo wa ''Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime'' wakipatana utakuja aibika.Kamsaidie Dr Mashinjikuimarisha Chadema kwanza
Simshambulii bali anakishusha hadhi cheo chake MZEE YULE na watu wote wanajua kama anatumiliwa kufuruga ............................ Utamalizia wewe apoUmejiunga na jf ili uje kumshambulia professa Ibrahim haruna lipumba.
Mkuu misemo mingine imepitwa na wakati ndugu wakigombana ongeza fitina ili unayemtaka ashindeKinachonishangaza ni kwanini wana Chadema mnashadadia sana huu mgogoro wa CUF na kuacha ya kwenu?inaonyesha mnamuogopa Lipumba,pia inaonyesha Chadema mna ajenda zenu za siri juu ya CUF huku bara,Mwalafyale hebu kumbuka msemo wa ''Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime'' wakipatana utakuja aibika.Kamsaidie Dr Mashinjikuimarisha Chadema kwanza
Siku hizi ana A.K.A Bwana Yule.....nadhani umetoka kwenye ule wimbo....''kumbe bwana yule hana kitanda wala shuka......''Uongozi wa CUF wilaya ya Tanga umeonyesha ukakamavu wa hali ya juu , baada ya kugomea mapokezi ya msaliti Lipumba , uongozi huo pia umeweka angalizo kwa wanachama wake kumuepuka lipumba mithili ya ugonjwa wa ukoma , na kwamba atakayeshiriki mapokezi ya Lipumba atavuliwa uanachama .
Hayo yalibainishwa na Mwenyekiti wa cuf wilaya , Mh Rashid Jumbe mbele ya waandishi wa habari , ambapo alikazia maamuzi halali ya Baraza kuu kwa kusema Lipumba alishafukuzwa uanachama .
Chanzo - Nipashe
MyTake - Usaliti ni laana mbaya mno !