Lipumba asuswa ziarani Tanga

Lipumba asuswa ziarani Tanga

Simshambulii bali anakishusha hadhi cheo chake MZEE YULE na watu wote wanajua kama anatumiliwa kufuruga ............................ Utamalizia wewe apo
Usiwasikilize wanachadema,ingia you tube msikilize profesa halafu utaelewe.
 
Uongozi wa CUF wilaya ya Tanga umeonyesha ukakamavu wa hali ya juu , baada ya kugomea mapokezi ya msaliti Lipumba , uongozi huo pia umeweka angalizo kwa wanachama wake kumuepuka lipumba mithili ya ugonjwa wa ukoma , na kwamba atakayeshiriki mapokezi ya Lipumba atavuliwa uanachama .

Hayo yalibainishwa na Mwenyekiti wa cuf wilaya , Mh Rashid Jumbe mbele ya waandishi wa habari , ambapo alikazia maamuzi halali ya Baraza kuu kwa kusema Lipumba alishafukuzwa uanachama .

Chanzo - Nipashe

MyTake - Usaliti ni laana mbaya mno !

watakuja pro lipumba hapa watatokwa na povu hali wakijua ya kuwa lipumba hastahili chochote juu ya CUF
 
Usiwasikilize wanachadema,ingia you tube msikilize profesa halafu utaelewe.
Siwasikilizi chadema but maprofesa wa EAST AFRIKA na kati hawakuridhishwa wanasema cheo chao kimetiwa doa na MZEE YULE kama inge wewe ndo yeye ungejaribu kujidhalilisha hivyo?
 
mbona huongelei madiwani wa cuf jiji la tanga kukubali kufanya kazi na ccm
comment yako inamaanisha lipumba ni CCM in disguise.. mnafanya admission bila kujijua, ha ha haaa.. [DHAMBI YA USALITI]
 
usimchagulie pa kusikiliza.. mbona wewe hupeni kusikiliza ya chadema
Mbowe+and+Lissu.jpg
Nitasikilizaje mataahira.
 
maxresdefault.jpg
HHivi wewe bado tu unawasikiliza, sasa huu si uchokozi kwa professa wana kafu huyu ndo mbaya wenu
 
Tanga hatufanyi siasa tunafanya maendeleo labda huko zanzibar
Kwani CUF Zanzibar si ilikuwa serikalini na CCM ila CCM Znz wenyewe ndio wanaiona CUF adui kwa maslahi yao na Dodoma inawapa full support
 
Kiongozi wetu watanzania wapenda amani
675861892.jpg
Mbowe+and+Lissu.jpg

Na angalia viongozi wako wa ukuta na maandamano😀
 
Propesa Pumba anatumikia ccm kwa vipande thelathini vya fedha mwisho atajinyonga na mke wake Sakaya atatafuta Mme mwingine
 
Hivi Lipumba hana Familia au? Kama ana watoto bila shaka watakuwa na umri zaidi ya wangu inamaana wanae ni mbululaz hawawezi kumshauri mshua wao?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom