Lipumba asuswa ziarani Tanga

Lipumba asuswa ziarani Tanga

IGP yuko wapi sasa atupe ufafanuzi kama mikutano ya hadhara imeruhusiwa na watu wasiokuwa na majimbo ya uchaguzi kuzunguka kila mahali wakifanya mikutano. Vinginevyo na viongozi wa vyama vingine nao waitishe mikutano kama anavyofanya Lipumba na wapewe ulinzi pia

Hayo mambo ilipaswa katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani ayazungumze, lkn yupo kimya kama hajui kinachoendelea, unadhan angekua slaa angerikalia kimya hili suala?
 
Mbona kapokewa vizuri tuu na wananchi wanachama wa cuf na wengineo
 
aoe au awiki? Ukiwa na mke huwezi kosea saaana at least mnaenda Canada kupiga mapicha ka naniliu sio unalala ofisini
 
lipumba.jpg
Professa Ibrahim Haruna Lipumba.mungu akupe maisha marefu tunakujua wewe ni shujaa baba, walimfukuza mzee wetu Mapalala ni wakati wa kutulipia kisasi, sisi wanyamwezi hatuna historia ya kushindwa, tokea enzi za isike na milambo.
 
View attachment 417545 Professa Ibrahim Haruna Lipumba.mungu akupe maisha marefu tunakujua wewe ni shujaa baba, walimfukuza mzee wetu Mapalala ni wakati wa kutulipia kisasi, sisi wanyamwezi hatuna historia ya kushindwa, tokea enzi za isike na milambo.
Mzigo mzito mpe Mnyamwezi ajitwishe .
 
Mkuu misemo mingine imepitwa na wakati ndugu wakigombana ongeza fitina ili unayemtaka ashinde
Heh heee huo msemo ndio nausikia leo,na ''wakipatana utapata aibu''wimbo Mama Kabibi acha uongoo''wimbo wa King Kiki miaka ileeee akiwa OSS.
 
View attachment 417545 Professa Ibrahim Haruna Lipumba.mungu akupe maisha marefu tunakujua wewe ni shujaa baba, walimfukuza mzee wetu Mapalala ni wakati wa kutulipia kisasi, sisi wanyamwezi hatuna historia ya kushindwa, tokea enzi za isike na milambo.
Mwaka huu wanaye Professor,mzigo mpe Mnyamwezi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom