Wewe, mbona bado hujajitoa mpaka leo?
Tanga hatumtaki na tumepanga akitia maguh anapigwa mawe maybe aletwe na iskoti ya polisi akahutubie sisiemu wenzake
Na kujiua kabisa na kuzikwa shamba la damuLabda nayeye muda ukifika ataenda kuvitupa vile vipande therathini hekaluni.
Wewe ndiye uliyeandaa mauzo hayo?Msaliti wa mabadiliko ya kweli ni Mbowe. Kwa nini auze chama kwa Mafisadi wa ccm?
Mimi nadhani it is not Lipumba alone but the whole establishment behind him.Msomi Lipumba is our greatest shame.Watanzania wezangu naomba samahani Lipumba siyo mwenzetu.
Ni unyanyasaji hakuna sheria hapa.Hii DOUBLE STANDARD sijui maana yake nini,Hivi kesho LOWASSA au MBOYE akitangaza atazunguka nchi nzima kufanya mikutano POLISI watakuja na kauli gani?Hebu waache UNYANYASAJI,kama ni sheria imewekwa hakuna mikutano basi isiwe ni kwa Kundi fulani tu.Hii Africa hii!!!!!
Mtamfanya ajinyongeASANTENI WANA TANGA!,ASUSIWE KILA AENDAPO.
:-asipate wa kumpokea,ajipokee mwenyewe..!
That man[emoji117] kwa sauti ya baunsa wa chriss brown...Bwana yule.
Sasa si useme we unayejua maana yake?By the way unaweza kueleza huu mwenendo kwa namna yoyote lakini ni mpuuzi tu atapanua mdomo wake kusema hapa hamna uminyaji wa wazi wa haki kwa kundi fulani.Hivi unajua maana ya terminology DOUBLE STANDARD Au umekariri?
Hii ni hatari sana
Link Wabunge wa CUF wakamatwa na polisi usiku huuHii DOUBLE STANDARD sijui maana yake nini,Hivi kesho LOWASSA au MBOYE akitangaza atazunguka nchi nzima kufanya mikutano POLISI watakuja na kauli gani?Hebu waache UNYANYASAJI,kama ni sheria imewekwa hakuna mikutano basi isiwe ni kwa Kundi fulani tu.Hii Africa hii!!!!!
ngoja tuone,manake tuliaminishwa baada ya wiki mwenye jengo pale buguruni analitaka,na nyuzi za lipumba mwaanzisha nyie tuUongozi wa CUF wilaya ya Tanga umeonyesha ukakamavu wa hali ya juu , baada ya kugomea mapokezi ya msaliti Lipumba , uongozi huo pia umeweka angalizo kwa wanachama wake kumuepuka lipumba mithili ya ugonjwa wa ukoma , na kwamba atakayeshiriki mapokezi ya Lipumba atavuliwa uanachama .
Hayo yalibainishwa na Mwenyekiti wa cuf wilaya , Mh Rashid Jumbe mbele ya waandishi wa habari , ambapo alikazia maamuzi halali ya Baraza kuu kwa kusema Lipumba alishafukuzwa uanachama .
Chanzo - Nipashe
MyTake - Usaliti ni laana mbaya mno !