Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,527
- 37,943
Watanzania bhana
Wakulima mchana
Usiku wajeda
Safi
Wakulima mchana
Usiku wajeda
Safi
Muulize huyo mleta thread hao waliofanya ujinga huo wako wapi kwa sasa?Haya yanatakiwa yafanyike nchini kote!
Fika central police Dar es salaam watakupa majibu sahihi
Yaani hata taarifa tu za mambo haya huzitaki?Waanze na wewe unaeshabikia shenzi kabisa
NdiyoKwani Taarifa za wao kufunguliwa Kesi ya Ugaidi niliipatia Central Police Mama !?.
Hiyo ni gharama yake.Ili kubadilisha mfumo lazima wapatikane wa kujitoa mhanga.Unadhani kina Mandela wangekuwa "kunguru" waafrika wa SA wangekuwa huru?Muulize huyo mleta thread hao waliofanya ujinga huo wako wapi kwa sasa?
Kama kawaida ya ma RPC wa jiwe, kama wangewakamata wangeshaandaa bonge la press.Muulize huyo mleta thread hao waliofanya ujinga huo wako wapi kwa sasa?
Hata mimi sijui ulikozipata.Kwani Taarifa za wao kufunguliwa Kesi ya Ugaidi niliipatia Central Police Mama !?.
Huwa natafakari sana kauli Amani ni tunda la Haki, wanaotuwala kama wao pia hawatafakari, basi tumeangamia!Duuh..hatari
Kweli wewe haupo TZ mbona RC wa Mtwara alitoa press muda mlefu na akaeleza waliokuwa wamekamatwa kuhusiana na matukio hayo!! Wewe ndiyo unasikia leo? Au kwa kuwa mitandao ilikuwa imezimwa?Kama kawaida ya ma RPC wa jiwe, kama wangewakamata wangeshaandaa bonge la press.
Sasa hivi wamekosa hata wa kuwabambikia kesi.! Aibu.
Alafu wakarimu kweli watakupa na mahindi ya kuchoma ina usiku wana badilika sura na machoWatanzania bhana
Wakulima mchana
Usiku wajeda
Safi
Mbona walishakamatwa siku nyingi na nimatukio ya tarehe 29/10/2020. Nashangaa leo ndiyo yanaletwa hapa JF!! Au kwa kuwa mitandao ilikuwa imefungwa!vitendo vya kihuni kabisa.jesh letu lioo inmara kusaka hawa wahalify
Sent using Jamii Forums mobile app
MavampayaAlafu wakarimu kweli watakupa na mahindi ya kuchoma ina usiku wana badilika sura na macho
Hata mimi sijui ulikozipata