Lindi: Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Msimamizi wa Uchaguzi na nyumba ya Mbunge

Hakuna jipya litakalobadilika katika Uchaguzi uliopita. Sana sana hao wataitwa waharifu tu na Wala hawatahusishwa na matokeo ya uchaguzi.
 
Haya yatakuwa maandamano ya shari siyo yale ya amani yaliyoitishwa na upinzani.

Maandamano haya shari yatakuwa yameitishwa na wengine.

Haihitaji PhD kutambua kuwa, waachwe watu watoe malalamiko yao kwa amani na yote haya ya shari yatakoma.
 
Wakinyooshwa na Vyombo vya dola mnajifanya hamjui chanzo.

Dola ishughulikie hawa wahalifu kama Marekani inavyo deal na wafanya fujo wa huko.
Duhhhh.....
Haya sasa, tulisema ulikua wa uwazi na haki na haya ndio matokeo yake tunavuna tukicho kipanda.
 
Vyombo vya ulinzi nasikia ni imara sana.

Kila mtu aliyesimamamia uchaguzi kwa namna yoyote apewe askari wawili wa kumlinda over.
 
Hili tukio lilitokea tarehe 28/10/2020 sasa acha kuzua taharuki kuwa limetokea ndani ya wiki hii,katika tukio hilo gari saba za government zilichomwa,hapo ni liwale kata ya ngongowele na kata ya kibutuka
 
Back
Top Bottom