Lindi: Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Msimamizi wa Uchaguzi na nyumba ya Mbunge

Muulize huyo mleta thread hao waliofanya ujinga huo wako wapi kwa sasa?
Hiyo ni gharama yake.Ili kubadilisha mfumo lazima wapatikane wa kujitoa mhanga.Unadhani kina Mandela wangekuwa "kunguru" waafrika wa SA wangekuwa huru?
 
Kama kawaida ya ma RPC wa jiwe, kama wangewakamata wangeshaandaa bonge la press.

Sasa hivi wamekosa hata wa kuwabambikia kesi.! Aibu.
Kweli wewe haupo TZ mbona RC wa Mtwara alitoa press muda mlefu na akaeleza waliokuwa wamekamatwa kuhusiana na matukio hayo!! Wewe ndiyo unasikia leo? Au kwa kuwa mitandao ilikuwa imezimwa?
 
Binadamu husipomtendea HAKI, ana madhara mabaya sana.

Hivi hatukujifunza kipindi cha vurugu za bomba la gesi!?

TUTENDE HAKI JAMANI.
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom