Lindi: Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Msimamizi wa Uchaguzi na nyumba ya Mbunge

Chama cha siasa kikishindwa kufikia malengo yake ya kushika dola kwa muda mrefu kinageuka kuwa kikundi cha waasi na hatimae magaidi..
Nendeni taratibu, tunawaangalia.
 
Acheni ujinga kusema mali ya wananchi imechomwa. Nimekagua mali zangu hakuna iliyochomwa. CCM wasijivike ngozi ya wananchi kuhalalisha ushenzi wao. Waliiba uchaguzi ambao watu walichagua watu wao wanaowapenda, acha walipie upuuzi walioufanya.
We shabikia tu cha moto utakiona ikifika zamu yako
 
Ni kweli ni ya siku ya uchaguzi. TBC walituficha. Sasa ndio tumejua kwa hiyo lazima itolewe. Mapambano yanaendelea... Hamuwezi kuficha Wanatanzania wote milioni 60.
Ni ya siku nyingi hii baada tu ya uchaguzi na wote walishakamatwa na wako mikono salama. Usiilete kama ndiyo imetokea leo. You fool.
 
Vyombo vya habari havikuitangaza wakati huo. Dikteta aliamrisha isitangazwe. Alikuwa na hofu kuwa ingechochea sehemu nyingine za nchi pia.
Hili tukio lilitokea tarehe 28/10/2020 sasa acha kuzua taharuki kuwa limetokea ndani ya wiki hii,katika tukio hilo gari saba za government zilichomwa,hapo ni liwale kata ya ngongowele na kata ya kibutuka
 
HAo ni magaidi yakipatikana machungu yao ni risasi tu
Akili ni zaidi ya mbavu,na hayo ndio yanayotupeleka huku tulipofika dad's,hayo mambo yalikuwa no msamiati kwetu,yafaa tujiulize kama taifa,kwanini tuna uelekeo huu leo.?
 
Back
Top Bottom