Lindi: Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Msimamizi wa Uchaguzi na nyumba ya Mbunge

Vitendo hivi vinazidi kushamiri nchini, watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Mwenyekiti wa Kijiji wamechoma moto magari na nyumba ya Msimamizi wa uchaguzi vile vile wamechoma moto magari na nyumba ya Mbunge.
View attachment 1626731
View attachment 1626732View attachment 1626733View attachment 1626734
View attachment 1626736
Hii habari ya siku nyingi tukio la tr 28 wakati wanasubiri matokeo, sijui unaileta habari hii leo kwa sababu gani. mbuzi ni mbuzi tu hambadiliki.
 
Rudi hukohukounaweza kuta muendelezo
 
Kweli wewe haupo TZ mbona RC wa Mtwara alitoa press muda mlefu na akaeleza waliokuwa wamekamatwa kuhusiana na matukio hayo!! Wewe ndiyo unasikia leo? Au kwa kuwa mitandao ilikuwa imezimwa?
Najua upo kwenye access ya bure hapo somewhere Lumumba, upload hiyo press ya huyo kiraka wa jiwe hapa.
Siyo maneno matupu.!
 
Acheni ujinga kusema mali ya wananchi imechomwa. Nimekagua mali zangu hakuna iliyochomwa. CCM wasijivike ngozi ya wananchi kuhalalisha ushenzi wao. Waliiba uchaguzi ambao watu walichagua watu wao wanaowapenda, acha walipie upuuzi walioufanya.
Wamechoma ccm wenyewe kutaka kudhihirisha wananchi kuwa ni opposition leaders ndio wamewatuma. Manake ccm nao walisema lissu alijipiga risasi mwenyewe...
 
Vitendo hivi vinazidi kushamiri nchini, watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Mwenyekiti wa Kijiji wamechoma moto magari na nyumba ya Msimamizi wa uchaguzi vile vile wamechoma moto magari na nyumba ya Mbunge.
View attachment 1626731
View attachment 1626732View attachment 1626733View attachment 1626734
View attachment 1626736
Sawa kabisa! Kila palipo mali za wasimamizi wa uchaguzi zishughulikiwe tu hamna namna! Wametenda dhuluma sana! Waende mpaka vijijini kwenye nyumba walizowajengea wazee wao!
 
Back
Top Bottom