Lindi: Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Msimamizi wa Uchaguzi na nyumba ya Mbunge

Hivi wadau nyumba zinapokua zinachomwa inamaana hakuna hata MTU wa hapo nyumbani wa kushtukia tukio na kutoa taarifa? Na je mbona hatusikii habari zozote kuhusu wanafamilia mfano; wanaendeleaje au wameokolewaje?
 
Hapo aliechomewa nyumba akihisi ni fulani atafanya mpango naye amchomee yake. In the end mambo yaki escalate then tunajikuta kwenye hali mbaya.
 
Naona dalili kuna wabunge hawatakanyaga majimboni kwao mpaka 2025, hii hali iwaamshe usingizini.
 
Haya ni matendo ya kihuni katikati ya siasa za kihuni,to every action,there is an equal reaction.Maridhiano ni muhimu sana baada ya uchaguzi,hakuna anayefurahia uovu katika jamii.
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom