Likizo ya X-Mas

IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,462
7,381
Baada ya kubrash na kushona viatu kwa muda mrefu(toka jan........),..sasa nataka nipumzike kidogo.Kuanzia week ijayo ntakua dar then mby...Mungu akijaalia mpaka songea

My concern:...ningependa kukutana na wenyeji wa jf_hasa mby na songea....

nawasilisha wakuu
 
duuuuuuuuu_mpaka sasa ni kappa,..hakuna hata jf member kwenye mikoa tajwa hapo juu.
 
nimekusanya nauli nategemea kwenda zangu kisumundu kuhesabiwa kama taratitu zetu
 
Labda nao wameshaanza likizo tayari... itabidi ujihudumie mwenyewe ukifika
ahahahahaaaaaaaaaaaaaaa_nafikiri hapo kuna hoja mkuu,...ila ni just a kampani......kijiwe kinaniwezesha kujimudu,...lakn si kuna maisha bora kwa kila mtanzania
 
Ingekuwa mwezi ujao tungekutana mbeya,
Ila kwa sasa tayari nina tiketi ya Dar express ya tar 23/12 kuelekea moshi,
Wasalimie wote utakobahatika kuwaona huko.
 
Haya da canta......ntawasalimia wote,.......usiache kuwasalimia wa moshi ukifika plz
 
Baada ya kubrash na kushona viatu kwa muda mrefu(toka jan........),..sasa nataka nipumzike kidogo.Kuanzia week ijayo ntakua dar then mby...Mungu akijaalia mpaka songea

My concern:...ningependa kukutana na wenyeji wa jf_hasa mby na songea....

nawasilisha wakuu

isee ukirudi usisahau mchele na usisahau kuwasalimu kina meku wote pale TBL mbeya
 
Mkuu kila la heri...tunakutakia mapumziko mema na yenye furaha.mzee wa mia na wengine wamekusikia..hivi ndio umewaaga hivyo wenyeji wa unako brush viatu?....:A S-coffee:

Baada ya kubrash na kushona viatu kwa muda mrefu(toka jan........),..sasa nataka nipumzike kidogo.Kuanzia week ijayo ntakua dar then mby...Mungu akijaalia mpaka songea

My concern:...ningependa kukutana na wenyeji wa jf_hasa mby na songea....

nawasilisha wakuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom