Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,568
- 5,388
Nitake radhi khaa!!............na nimesharipoti kwa mods
Nilikuwa nawaza maisha yalivyo magumu.....ghafla nacheck kwenye screen nakutana na like ya The queen of JF Moderators Roulette kwenye post yangu..........ghafla nikahisi kijoto fulani kinapita ndani ya vein za moyo wangu. Faraja na mahanjam yakauengaenga moyo na ubongo bila tashtiti.
Matatizo hayajaisha ila angalau kwa dakika kama 20 nilikuwa na raaha.
Mashalaaah Roulette
platozoom
Hapo in red ulikua na maana gani? Sisi ni watu wazima, tunaelewa hii lugha:bathbaby:. Mamndenyi, upo?
Last edited by a moderator: