Like ya Roulette is so sexy!

Kaizer kwa heshima na taadhima bila kinyongo moyoni nakutakia ugeni mwema
 
Last edited by a moderator:
Napenda kutuma Salamu kwa Bibi yangu akiwa Mashambani Lushoto.
Wa pili Wana ChitChat popote pale Mlipo
Na Wa Tatu ni Mamkwe,Bamkwe,Shost,Mwanfnz wangu na Ma Mods popote walipo humu JF.

Ujumbe:Naogopa BAN

Wimbo:House of Reggae by Burning Sphere.

NIMEPOTEA JUKWAA.

Asavali uendelee kupotea majukwaa!
Usije potea room ukaingia kwa Jg kutoka itakua issue! Hata ukifukuzwa utagomea ndani.
Tume ya maoni ya katiba pia utawaomba waje kukuhojia ndani .
 
Waulize. Halafu Kaizer sio wa kuweka kwenye hicho kikundi chenu tafadhali.

Nimeshajua mchawi wangu!!!

Kaizer, nakuja kukutembelea, siku nyingi sijamuona AshaDii. Naona weekend hii watu walianza kunywa mapema, friday mchana wamesha lewa.
Roulette karibu sana. utamkuta AshaDii japo kaujauzito kanamsumbua ila ndo kawaida, she misses you.
platozoom, unataka kuchovya tonge kwenye bakuli moja na wazazi wako?
 
Last edited by a moderator:
Roulette karibu sana. utamkuta AshaDii japo kaujauzito kanamsumbua ila ndo kawaida, she misses you.
platozoom, unataka kuchovya tonge kwenye bakuli moja na wazazi wako?
Mkuu Kaizer, mi ntapretend hata sijaona ulichokisema hapa.........aseee msalimie sana dada yangu AshaDii mwambie amemisiwa sana kutoa miongozo mpaka Bunge sasa linatetereka
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom