BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,163
Usijichokeshe bure dear, I'm happily married and mother of two lovely angels . My heart is closed.
funguo ya moyo wako uliitupia wapi nikaisake mie jamani?
Usijichokeshe bure dear, I'm happily married and mother of two lovely angels . My heart is closed.
platozoom na wengine wote wanao taka kunilainisha kwa kupenda like zangu:
Katika thread ya mpendwa wetu Mphamvu (I miss you bro), mnamo tarehe 25 mwezi wa kwanza mwaka huu inayo itwa
https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ngewa-like-na-invisible-wewe.html#post3202368
Post #8 (link) Asprini a.k.a. ODM alisema:
Na mimi nikamjibu hapo hapo (in line editing, as per my mod competence and capabilities).
Hayo hayakuziwiya your favorite grandpa kupigwa BAN pale alipo kosea katika jukwaa fulani (shahidi Bishanga, tajiri wa kihaya anae mpa tabu Nyani Ngabu).
Narudi kwenye point yangu ( Kongosho usishangae): Like utapata pale unapo changia na kunifurahisha, ila haito ziwia sheria za JF kuzingatiwa. I hope you like handcuffs...
Nipo Mahuta jamani. tumefunga shule kwa sasa
Niko zangu leave nakula a well deserved treat
Kama kuna ujumbe wa dharura au party nzuri
message au kadi mpeni Ambitious atafikisha
hakikisha huo ujumbe ni msafi na halaliUmetiririka ushairi na yeyote atakiri
U-mbali sielewi umeadimika mnadhiri
Usende mbali muhibu utaivuruga akili
Ujumbe wangu nitampa ila ausitiri
Wasalaam platozoom
JF Founder
hakikisha huo ujumbe ni msafi na halali
nisije upata, kumbe! ni wa mahaba makali...
Kumbuka huku mahuta niko na wangu asali
sitaki aje ukuta ujumbe wako tafadhali
Ujumbe nitampa ila maneno yatakuwa matamu
Sitakuudhi usijali ujumbe utaufahamu
Moyo wangu wenda mbio ukimtaja huyo asali wako
Nidanganye hata kwa mafumbo nisiukose unono
Huku niko na asali, lazima ataupata ujumbe
Kumbuka mimi ni Mwali, wewe mtoto wa kiume
huoni kuna hatari ya kunipeperushia mume?
naomba utafakari, na huo ujumbe usitume!
Kilio chako nimesikia makali nitayapunguza
Ila ujumbe pokea haja ya mja kunena
Usihofu muhisani maneno yangu ni dawa
Utapona nakwambia hofu yako itaisha
Namuheshimu asali wako japo roho yaumia
Hifadhi ujumbe wangu utanikumbuka maridhia
Mtupe jongoo lakini mti wake utakufaa
Alamsiki mnyange ulale kwa usalmini
Wabaya wasikupate usingizi uwe wa kheri
Unikumbuke kwa sekunde japo kwa umbali
Bibie Roulette acha longolongo mingi, kwanza nambie shem langu la ukwee AshaDii ako wapi?platozoom na wengine wote wanao taka kunilainisha kwa kupenda like zangu:
Katika thread ya mpendwa wetu Mphamvu (I miss you bro), mnamo tarehe 25 mwezi wa kwanza mwaka huu inayo itwa
https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ngewa-like-na-invisible-wewe.html#post3202368
Post #8 (link) Asprini a.k.a. ODM alisema:
Na mimi nikamjibu hapo hapo (in line editing, as per my mod competence and capabilities).
Hayo hayakuziwiya your favorite grandpa kupigwa BAN pale alipo kosea katika jukwaa fulani (shahidi Bishanga, tajiri wa kihaya anae mpa tabu Nyani Ngabu).
Narudi kwenye point yangu ( Kongosho usishangae): Like utapata pale unapo changia na kunifurahisha, ila haito ziwia sheria za JF kuzingatiwa. I hope you like handcuffs...
Bibie Roulette usikubali kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa. Huyu dogo huwa anakuua kinoma. Hii ni janja yake asipigwe BAN. Kula kichwa akileta za kuleta...:spy:Thats why i like you madam Roulette because you always tell the truth and what you really feel bila ya kuogopa mtu yeyote. Apart from that you are intelligent lady who always makes wise decisions. Am so proud of My lovely sister Roulette. Keep it up.