Like ya Roulette is so sexy!

Like ya Roulette is so sexy!

Napenda kutuma Salamu kwa Bibi yangu akiwa Mashambani Lushoto.
Wa pili Wana ChitChat popote pale Mlipo
Na Wa Tatu ni Mamkwe,Bamkwe,Shost,Mwanfnz wangu na Ma Mods popote walipo humu JF.

Ujumbe:Naogopa BAN

Wimbo:House of Reggae by Burning Sphere.

NIMEPOTEA JUKWAA.

Asante mwalimu Madame B
 
Last edited by a moderator:
aahhh kwani mwenye macho huwa anaambiwa ona?? nakuulizaje Madame B, za kwenu kwema huko?? ni katika kukujulia hali lol!

Za huku nzuri tu @cacino sijui na kwako huko wazima?
Mchakato unaendelea ktk kulijenga Jukwaa la ChitChat.
Ha ha ha ha.
 
Last edited by a moderator:
Makubwa madogo yana afazali.
Tutaona mengi mwaka huu.
 
Mbona masuali mengi kijana? Na wewe unataka kuanza interviews kama za Zinduna?
Hapana Roulette, ile ya Zinduna ni talk show ya public, haya ya kwangu ni private kwenye kidate.........

I just wanna know you moooo
 
Last edited by a moderator:
I hope unanitania Kaizer! Kama unafahamu kadadaa alipo, utashindwa kweli kujua mdogo wake Cantalisia yuko wapi? Anyways......ngoja nifikishe ujumbe kwa heshima yako!
Kipipi mi hapana tania jamani.....umefikisha?
 
Last edited by a moderator:
Jibu ni lile lile: sina muda wa kujieleza kwa wanaume, tena in private. Hali kadhalika I am not interested in meeting a guy.

Mwambie huyo M'Jr, bahati ya mwingine asiilalie mlango wazi..............by ze wei how are you doing kween of JF Mods Roulette
 
Last edited by a moderator:
Jibu ni lile lile: sina muda wa kujieleza kwa wanaume, tena in private. Hali kadhalika I am not interested in meeting a guy.
Roulette, i like this kinda women who try to portray wako very strong kwenye majicho.........Dah unazidi kuniuaaaa....Lol!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom