Like ya Roulette is so sexy!

Like ya Roulette is so sexy!

Napenda kutuma Salamu kwa Bibi yangu akiwa Mashambani Lushoto.
Wa pili Wana ChitChat popote pale Mlipo
Na Wa Tatu ni Mamkwe,Bamkwe,Shost,Mwanfnz wangu na Ma Mods popote walipo humu JF.

Ujumbe:Naogopa BAN

Wimbo:House of Reggae by Burning Sphere.

NIMEPOTEA JUKWAA.
 
Then you better term it as "FORTUNATELY" as opposed to unfortunately.
Mkubwa wangu mimi nipo sana, useme muda mwingi sana huwa namuwazia Ulimboka, na nikikumbuka Mabwepande basi tena siweziingia majukwaani. Komaa na Roulette mkuu, kama vp mchango wa harusi tujuze.
Dah mkuu si unajua tena nchi yetu kwa sarakasi, kila kukicha kuna sarakasi mpya lakini usipotee sana unajua wenyeji tuliowazoea mkipotea wenyeji tulipo tunaboreka mkuu
 
Napenda kutuma Salamu kwa Bibi yangu akiwa Mashambani Lushoto.
Wa pili Wana ChitChat popote pale Mlipo
Na Wa Tatu ni Mamkwe,Bamkwe,Shost,Mwanfnz wangu na Ma Mods popote walipo humu JF.

Ujumbe:Naogopa BAN

Wimbo:House of Reggae by Burning Sphere.

NIMEPOTEA JUKWAA.
Khaaa umesahau kumtumia salamu mbunge wako mheshimiwa.........................
 
lolest! salamu za madam b hapo juu zisindikizwe na wimbo wa taifa! ujumbe Roulette nyota yako inang'aa kama ya wema kwa sasa! kha!
 
Last edited by a moderator:

cacico, hizo zinaitwa strategy................."Kuza popularity"
 
Last edited by a moderator:
lolest! salamu za madam b hapo juu zisindikizwe na wimbo wa taifa! ujumbe Roulette nyota yako inang'aa kama ya wema kwa sasa! kha!

Umeonaa ee..!!!
Yuko Juu ka' Dege la Obama.
 
Last edited by a moderator:
Khaaa umesahau kumtumia salamu mbunge wako mheshimiwa.........................

Wananikera bhana.
Wameongezeana wao posho.
Sisi ni One n' two.
Sitaki hata kumsalimia.
 
Wananikera bhana.
Wameongezeana wao posho.
Sisi ni One n' two.
Sitaki hata kumsalimia.
Hahahahaa na kule kwenu milimani kutakuwa kama Geneva si kawa mkulu siku hizi so atafanya maneno kwao ili aendelee kukalia ka kiti
 
Yani ndo hapo atakapokuwa mdogo kama Nukta.
Asione tuko Quiet,tuna... :ranger: Kisailensa.
 
Hahahahaaa haya wee lakini mtumie salamu tu na kisha uambatanishe na ujumbe "wrapped"
 
Atapelekewa tu.
Mkuu M'Jr, usikute yumo humu humu JF anaipitia hii Post Kimya kimya... 😛eep:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom