Sijui kwa nini mawakili wake hawakuliona hilo. Ukisema hivyo maana yake unakiri kosa.Hili ndio lilikuwa kosa la kiufundi alikiuka kiapo.
Sijui kwa nini mawakili wake hawakuliona hilo. Ukisema hivyo maana yake unakiri kosa.Hili ndio lilikuwa kosa la kiufundi alikiuka kiapo.
Ahaaaaa dah kweli aliye juu afatwe huko huko😂😂😂Hamisa alicheza naye Dar.
Mwanza kulikuwa na kifaa bora zaidi kilicheza na Ipupa. Hebu muoeView attachment 1975936View attachment 1975937View attachment 1975938
Ilionekana wazi lazima afungwe ili ze Mbowe akichapwa miaka ionekane is fair !
Thanks ntaitafuta niisomeRuge hakuhukumiwa bali kesi ilifutwa....
Si kwamba kesi ilisikilizwa hadi mwisho na hukumu ikatolewa kwamba hana hatia bali DPP hakutaka kuendelea na kesi! That's different scenario
Umeona eeeAhaaaaa dah kweli aliye juu afatwe huko huko
Haya ni mambo ni siri ya watu wawili umeyajuaje??Alikuwamfiraji uyu acha akapigwe tako jela
Ninazo ndio maanaa nakwambia hivi mbowe hajakula njama na wala sio gaidi kama umemezeshwa huwo upumbavu hapo lumumba pole sana.Una akili sawasawa? Mbowe alikula nyama za kigaidi hivyo anashtakiwa kwa huo ugaidi wake na yy ni kifungo cha Maisha. MAHAKAMA ZETU SASA ZIKO HURU ZAIDI.
Nadhani hujui mihemko! Sibishani, nikisema nimesema, kama hutaki jinyonge, mbona simple tu. I don't argue with foolsAcha mihemko, hata wakiamua mbowe apigwe risasi usdhani those international stupidity will give a damn,
Kila nchi inaangalia maslahi yake dhidi ya nchi nyingine. Hakuna nchi duniani yenye maslahi na Mbowe.
Tujifunze kupambana kutatua matatizo yetu bila kutegemea wazungu. Inawezekana.
Dini zinachezewa sanaAliyekuwa Dc wa Hai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa amewatoa wasiwasi wafuasi wake kwa kuwapa kauli ya kiroho , Amesema hivi , Nanukuu , MSIJALI MAANA MUNGU YUKO KAZINI , Mwisho wa kunukuu .
Chanzo : Mwananchi
Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa shida iliyotokea kutokana na hukumu aliyopewa kijana wao .
kwa mawazo yako tu lazima we ni kaka jambaziAsante Mama Samia, Jambazi Lililolala kaburini limeumbuka. Mungu azide kukoka Moto huko liliko
Forever hiyoRobert Kelly kapigwa ngap Mzee
Hayupo hapa bongo wewe ..kaishasanuliwa alale mbeleHivi kwanini Makonda kaachwa?
Na amekuwa kimya, na akilima nyanya Arusha
Alie kwambia wanachukua 30/2 ni nani mkuu.Sir Baya hajatendewa haki mvua alizopigwa kidogo kabsa kwa umri wake...
Miaka 34+30÷2=atatoka akiwa na miaka 49 umri ambao akirudi uraiani anaweza kuwa Jambazi mkuu kuliko ht yule wa kwenye movie ya Van dame..
Hakimu kala rushwa nilipendekeza anyongwe km Okwonkwo na demu wake nipewe Mimi huku akimuona ...
Shuain
Tayari huyo Jaji ameshapewa cheo katika mazingira ya kustaajabisha sana na yule Jaji Mkuu wa bi bi sii, na wakati mchakato wa kesi ukiendelea!Huyo Jaji atakayemfunga Mbowe atakua mpuuzi wa mwisho na ndio mwisho was Tanzania kwenye international relation
Umeingia mlango usiyokuwa kwenye house walls!.Mataga tulieni, msipige ramli sana baada mwenzunu kuangukia pua.
Ishu sio kutoka bali kuthibitishiwa alivyokuwa muovu"Atatoka tu kama Babu Seya na wanawe"
mwisho wa kunukuu vijiweni leo.
Yule aliye jiachia na kutoa maelezo ya uongo na ya kufikirika wakati anahojiwa na Kikeke, alipata wapi hayo mamlaka.Lema amekuwa mtabiri siku hizi .
Ni kosa kuzungumzia kesi iliyo mahakamani , ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Viongozi na mawakili wa mbowe hawajalalamika .
Ni bora lema akanyamaza wakati mungine kama hana jambo la maana la kuongea.
Ni home boy Lakini huwa namshangaa wakati mungine
Binafsi nimeona jaji anaendesha Vizuri kesi
Janja sana hilo lijamaaKwani yupo basi, ameshakimbia yupo Afrika kusini huko.