Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

No wako wengi tu, ila hakuna figisu za serikali, hakuna serikali kuingilia mahakama, that is what I mean!

Mkuu hoja yako ni kuwa Sabaya alikuwa anasumbuliwa na “utoto tu”. Hicho ndicho kisichokubalika. It’s not a credible excuse
popote pale kwa mtu wa umri wake.

Halafu usisahau kuwa aliyemteua alikuwa akijua na kuunga mkono matendo yake ya kishenzi.
 
Mahakama ikimuhukumu mtu ambaye huna interest nae unaona Mahakama imetenda haki ila hiyo hiyo Mahakama ikimuhukumu mtu ambaye una interest nae unaona Mahakama haitendi haki!!

Haya nayo ni maajabu aisee.
Kwani hizo hukumu huwa zinatolewa bila ushahidi usiotia shaka kukamilika?.Kama mtu kahukumiwa isivyostahili kila mtu ataona na ikitokea kahukumiwa kihalali kila mtu ataona.Hila zipo na haki ipo.Haki haijawai kufichwa labda kucheleweshwa.kwahiyo acha wanaotoa mawazo yao wawe huru haijalishi wanayatoa kwa mtazamo gani.
 
Huyo Jaji atakayemfunga Mbowe atakua mpuuzi wa mwisho na ndio mwisho was Tanzania kwenye international relation

Acha mihemko, hata wakiamua mbowe apigwe risasi usdhani those international stupidity will give a damn,
Kila nchi inaangalia maslahi yake dhidi ya nchi nyingine. Hakuna nchi duniani yenye maslahi na Mbowe.
Tujifunze kupambana kutatua matatizo yetu bila kutegemea wazungu. Inawezekana.
 
Mkuu hoja yako ni kuwa Sabaya alikuwa anasumbuliwa na “utoto tu”. Hicho ndicho kisichokubalika. It’s not a credible excuse
popote pale kwa mtu wa umri wake.

Halafu usisahau kuwa aliyemteua alikuwa akijua na kuunga mkono matendo yake ya kishenzi.
Hivi Mjusi yule kada wa ssiem ngarenaro yuko wapi
 
Lema nayeye akae kwa kutulia.Huu sio muda wakulia lia na kulalamika uku tukisubiri miujiza ya Mungu.Ata hivyo inawezekana hii ndio njia ya ukombozi mwenye pumzi kaamua kuitumia.Kama mbowe atatiwa hatiani kwasababu ya ushahidi usiotia shaka wacha aadhibiwe kulingana na sheria ila kama atatiwa hatiani kwa hisia muda utatupa majibu ya kitakachojiri.
 
Daah mrembo, juzi umeua sana ulivyocheza na Ipupa kwa stage Mwanza
Ahaaaaa imenibidi nicheke tu jf raha sana, ingawa hizo ishu sio rahisi unikute ila niliumia kwa nini sikwenda. Next time lazima niende kuosha macho.
 
Ahaaaaa imenibidi nicheke tu jf raha sana, ingawa hizo ishu sio rahisi unikute ila niliumia kwa nini sikwenda. Next time lazima niende kuosha macho.
To be honest paap nilipomwona yule dada ghafla nilikukumbuka yaani, hasa hilo guu na shape.
Sijui kwanini jamani
 
To be honest paap nilipomwona yule dada ghafla nilikukumbuka yaani, hasa hilo guu na shape.
Sijui kwanini jamani
Ahaa si hamisa huyo ndo alikuwa acheza nae pale stage?

Aaah wapi sisi wanawake wa kawaida sio rahisi kutukuta kwenye hizo ishu. Hizo ishu za mastar.
 
Kama hakuhukumiwa kifungo alihukumiwa nini?
Anyway, thanks nisikuchoshe wacha niisake niisome.
Ruge hakuhukumiwa bali kesi ilifutwa....

Si kwamba kesi ilisikilizwa hadi mwisho na hukumu ikatolewa kwamba hana hatia bali DPP hakutaka kuendelea na kesi! That's different scenario
 
Mimi naona alkiikuwa anataka kuonyesha amejirekebisha apewe nafasi nyingine as in future atakuwa responsible man kuoa ni kwa watu responsible pekee. Sad hajasikilizwa na myinyi mmemuelewa vibaya
 
Ahaa si hamisa huyo ndo alikuwa acheza nae pale stage?

Aaah wapi sisi wanawake wa kawaida sio rahisi kutukuta kwenye hizo ishu. Hizo ishu za mastar.
Hamisa alicheza naye Dar.
Mwanza kulikuwa na kifaa bora zaidi kilicheza na Ipupa. Hebu muoe
Screenshot_20211016-060752_Instagram.jpg
Screenshot_20211016-060807_Instagram.jpg
Screenshot_20211016-060736_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom