Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Una akili sawasawa? Mbowe alikula nyama za kigaidi hivyo anashtakiwa kwa huo ugaidi wake na yy ni kifungo cha Maisha. MAHAKAMA ZETU SASA ZIKO HURU ZAIDI.
Ninazo ndio maanaa nakwambia hivi mbowe hajakula njama na wala sio gaidi kama umemezeshwa huwo upumbavu hapo lumumba pole sana.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Acha mihemko, hata wakiamua mbowe apigwe risasi usdhani those international stupidity will give a damn,
Kila nchi inaangalia maslahi yake dhidi ya nchi nyingine. Hakuna nchi duniani yenye maslahi na Mbowe.
Tujifunze kupambana kutatua matatizo yetu bila kutegemea wazungu. Inawezekana.
Nadhani hujui mihemko! Sibishani, nikisema nimesema, kama hutaki jinyonge, mbona simple tu. I don't argue with fools
 
Sir Baya hajatendewa haki mvua alizopigwa kidogo kabsa kwa umri wake...

Miaka 34+30÷2=atatoka akiwa na miaka 49 umri ambao akirudi uraiani anaweza kuwa Jambazi mkuu kuliko ht yule wa kwenye movie ya Van dame..

Hakimu kala rushwa nilipendekeza anyongwe km Okwonkwo na demu wake nipewe Mimi huku akimuona ...
Shuain
 
Aliyekuwa Dc wa Hai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa amewatoa wasiwasi wafuasi wake kwa kuwapa kauli ya kiroho , Amesema hivi , Nanukuu , MSIJALI MAANA MUNGU YUKO KAZINI , Mwisho wa kunukuu .

Chanzo : Mwananchi

Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa shida iliyotokea kutokana na hukumu aliyopewa kijana wao .
Dini zinachezewa sana
 
Lema amekuwa mtabiri siku hizi .

Ni kosa kuzungumzia kesi iliyo mahakamani , ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Viongozi na mawakili wa mbowe hawajalalamika .
Ni bora lema akanyamaza wakati mungine kama hana jambo la maana la kuongea.
Ni home boy Lakini huwa namshangaa wakati mungine

Binafsi nimeona jaji anaendesha Vizuri kesi
 
Sir Baya hajatendewa haki mvua alizopigwa kidogo kabsa kwa umri wake...

Miaka 34+30÷2=atatoka akiwa na miaka 49 umri ambao akirudi uraiani anaweza kuwa Jambazi mkuu kuliko ht yule wa kwenye movie ya Van dame..

Hakimu kala rushwa nilipendekeza anyongwe km Okwonkwo na demu wake nipewe Mimi huku akimuona ...
Shuain
Alie kwambia wanachukua 30/2 ni nani mkuu.
Huwa iko hivi wanachukua thelusi mbili ya kifungo chote yaani 2/3 soo hapo atakaa 20 years

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Huyo Jaji atakayemfunga Mbowe atakua mpuuzi wa mwisho na ndio mwisho was Tanzania kwenye international relation
Tayari huyo Jaji ameshapewa cheo katika mazingira ya kustaajabisha sana na yule Jaji Mkuu wa bi bi sii, na wakati mchakato wa kesi ukiendelea!

Na mbaya zaidi yule Jaji wa bi bi sii alitamka hadharani makosa feki ya mtuhumiwa, na kuiambia dunia ya kwamba watuhumiwa wenzake tayari walisha hukumiwa kitambo! Hivyo bado zamu ya Kamanda tu.

All in all, mpaka hapa tulipofikia, Katiba Mpya haikwepeki.
 
Lema amekuwa mtabiri siku hizi .

Ni kosa kuzungumzia kesi iliyo mahakamani , ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Viongozi na mawakili wa mbowe hawajalalamika .
Ni bora lema akanyamaza wakati mungine kama hana jambo la maana la kuongea.
Ni home boy Lakini huwa namshangaa wakati mungine

Binafsi nimeona jaji anaendesha Vizuri kesi
Yule aliye jiachia na kutoa maelezo ya uongo na ya kufikirika wakati anahojiwa na Kikeke, alipata wapi hayo mamlaka.

Hivi kuna asiyefahamu kweli kama hii kesi ni ya kupikwa!!
 
Back
Top Bottom