Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 24,926
- 33,513
Kwani wewe ndio mahakama?Mbowe amebambikiwa kesi lakini Sabaya ni kesi ya kweli lakini Hakimu katoa Adhabu ndogo sana kwa Sabaya kinyume na matendo yake
Kwani wewe ndio mahakama?Mbowe amebambikiwa kesi lakini Sabaya ni kesi ya kweli lakini Hakimu katoa Adhabu ndogo sana kwa Sabaya kinyume na matendo yake
Mama katupa furaha ya Weekend hapa nilipo naburudika na kinywaji laini hahahahahahaha
Mkuu Hutu tu imoji twako tunanivunja mbavu Aisee!
😂😂😂😂😂
Mahakama ikitenda haki kwa gaidi usilie kama toto jingaUsiwe kama mjinga. Kinachothibitisha mahakama kutoa hukumu ni ushahidi uliojitosheleza siasa siasa za kijinga za CCM
Bado zamu yako kama ulihisika na uporaji jipange kwa utetezi ,we jisemeshe tuu.Take a note from this post/thread, hukumu hii kuna kitu inataka kuhalalisha. Watamfunga Mbowe!
Then baadaye Sabaya will be pardoned!
Unapanic nini sasa we zwazwa?Mahakama siyo vikao vya CCM wewe fala kama **** ushahidi usio na mashaka kwa mbowe basi mfungeni lakini siyo huo uzushi wenu na propaganda za kisiasa.
Si mlisema sabaya atatoka? Haya sasa katoka na 30 hukoMahakama imetenda haki ee?
inaweza ikawa kwa upande wake maana watu wanacheza the long GAMETake a note from this post/thread, hukumu hii kuna kitu inataka kuhalalisha. Watamfunga Mbowe!
Then baadaye Sabaya will be pardoned!
AiseeMiaka 30 jela
Mbowe afungwe kwa ushahidi gani ww kimba, huu wa kutunga wa kina kingai!!Mbowe nae akifungwa mfurahie hvy hvy
HahaaaKufungwa kitu gani bana hata R Kelly amefungwa