Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 4,953
- 6,072
Pole kwake na familia, vijana tukipata uongozi tutende yale yanayopaswa kutendwa
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Malipo ni hapa hapa duniani hii nii funzo kubwa mno kwa wale wote wanaopewa vyeo na kutumia madaraka yao vibaya kutesa raia.Wanajukwaa poleni kwa kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa Taifa letu,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Bila shaka baada ya Hukumu ya Lengai Ole Sabaya kuhairishwa tarehe 1/10/2021 ilipangwa kwamba itatolewa leo. Hivyo tuelekeze masikio yetu katika viunga vya mahakama.
=======
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili leo Ijumaa Oktoba 15, 2021 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha.
Hakimu mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Amalia Mushi aliahirisha hukumu hiyo Oktoba Mosi, 2021 baada ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Odira Amworo, kutokamilisha kuandika hukumu hiyo.
Agosti 24 mwaka huu, Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu na Daniel Mbura walikamilisha kujitetea mahakamani hapo baada ya Jamhuri kukamilisha mashahidi 11 na vielelezo vinane.
Sabaya alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza Juni 4, mwaka huu baada ya kukamatwa Mei 27 wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Chanzo: Mwananchi
UPDATE: MAHAKAMA YAMKUTA NA HATIA OLE SABAYA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imemkuta na hatia Lengai Ole Sabaya na wenzake katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha.
Mahakama ilimpatia nafasi Ole Sabaya ajitetee(Shufaa) kwanini asipewe adhabu kali naye aliiomba Mahakama imuonee huruma kwani si yeye bali alikuwa anatekeleza amri ya mamlaka ya uteuzi, pia ameomba mahakama imuonee huruma kwani ana mchumba anayetegemea kufunga naye ndoa na mahari ameshalipa.
UPDATE: SABAYA NA WENZAKE MIAKA 30 JELA
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wamehukumia na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha.
WASIFU WA OLE SABAYA
Lengai Ole Sabaya amezaliwa 26/12/1986 mkoani Arusha. Amesoma Shahada ya Sayansi katika Elimu Chuo Kikuu cha Mtakatifu John Dodoma (St. John University).
Ole Sabaya aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) Mkoa wa Arusha na pia aliwahi kushika wadhifa wa Udiwani katika kata ya Sambasha Wilaya ya Arusha Mjini mwaka 2015.
Ole Sabaya aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro tarehe 28 Julai 2018 ya aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya tano, Hayati John Pombe Magufuli.
Sabaya alitenguliwa nafasi hiyo ya ukuu wa Wilaya ya Hai tarehe 13 Mei 2021 na Rais Samia Suluhu Hassan ili kupisha uchunguzi wa makosa yaliyokuwa yakimkabili ikiwemo unyang’anyi wa kutumia silaha. Tarehe 15 Oktoba 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Arusha imemhukumu Sabaya na wenzake kifungo cha miaka 30 jela.
Daaaah mkeka umechanikaMahakama ilimpatia nafasi Ole Sabaya ajitetee(Shufaa) kwanini asipewe adhabu kali naye aliiomba Mahakama imuonee huruma kwani si yeye bali alikuwa anatekeleza amri ya mamlaka ya uteuzi, pia ameomba mahakama imuonee huruma kwani ana mchumba anayetegemea kufunga naye ndoa na mahari ameshalipa.
Kesi ya Mbowe ni nyepesi sanaSijapenda hukumu hii maana wasiwe wanajenga ngao ya kumfunga Mbowe na baadaye wam- pardon Sabaya na kumsamehe na kumpa cheo!
Nasikia alizimia akapepewa ninkweli? Sabaya Mungu wake akizikwa March 2021. Leo Rais wa nchi Yuko Kaskazini na mambo ni Safi hukoAna wakati mgumu sana hili tukio limemkuta ghafla hakutegemea, alijua atalindwa na mamlaka mpaka mwisho wa safari kumbe hakuwa akilindwa na mamlaka bali alikuwa akilindwa na mtu mmoja ambae kwa sasa ni marehemu, amejikuta yuko peke yake mahakamani asijue la kujitetea ndio maana ameongea vitu vinavyoonekana vya ajabu.
Hii kauli umeisikia wewe peke yako walah....Aliyekuwa Dc wa Hai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa amewatoa wasiwasi wafuasi wake kwa kuwapa kauli ya kiroho , Amesema hivi , Nanukuu , MSIJALI MAANA MUNGU YUKO KAZINI , Mwisho wa kunukuu .
Chanzo : Mwananchi
Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa shida iliyotokea kutokana na hukumu aliyopewa kijana wao .
Mbowe nae akifungwa mfurahie hvy hvy
Muhimu ni uwepo wa ushahidi usiotia shaka na hukumu inayozingatia haki na kwa mujibu wa sheria.Ingekuwa ni mbowe kuna watu wangelaani serikali
Mahakama itatenda haki pia kwa gaidi!Tafuta bwana mwingine Sabaya hatoki Tena dada
Nchi/serikali haijawahi kumshindwa mtu, usijidanganye katika hiloMakonda ni mzinga wa nyuki, ukiguswa nchi haitakalika.
Mahakama imetenda haki!Mimi ninaowaonea huruma ni...matakataka na machozi ya samaki.
Ezekiel Mbaga
Crimea
johnthebaptist
Idugunde
Mudawote
Kinuju
Jumbe Brown
Naipendatz
GENTAMYCINE
Na orodha itaendelea...wako wengi ilitakiwa wafukuliwe na kuunganishwa kwenye hii kesi...
kwani Mbowe yuko juu ya sheria za nchi?Take a note from this post/thread, hukumu hii kuna kitu inataka kuhalalisha. Watamfunga Mbowe!
Then baadaye Sabaya will be pardoned!
Msomi gani wa St. Johns?dah huo utetezi umetoka kweli kwa Sabaya au ni story tu za vijiweni?... kama kweli ametoa utetezi huo basi naweza sema jamaa ni full kilaza aisee na kumbe nje ya mamlaka hana ujanja wowote....fuckin kabisa aisee..
Unapewa nafasi ya kujitetea unaongea upuuzi huo aisee, Elimu yetu inahitaji complete overhaul aisee huyu ni kijana msomi na alikuwa kiongozi mkubwa ngazi ya wilaya aisee anaongea ujinga kama huu kama utetezi wake..bora angekaa kimya tu aiseee..
..hili Demu hakulipora Kwa MTU kweli? Maana jamaa limepora Sana mademu WA watu na kuwatia kwa mboro lake la kimasai...Sasa na lenyewe watalitia jela ipasavyo....miaka 30 likitoka limezeeka na kupinda mgongo kabisa...hata nguvu ya kutiana halitakua nayo...jamaa laana Sana hili...
Dah! Siku moja tu inaweza kubadili mfumo mzima wa maisha yako..nahis anajuta sana kuwa mkuu wa wilayaWanajukwaa poleni kwa kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa Taifa letu,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.