Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

UNGEKUWA NI WEWE UNGEJITETEAJE?

AU ULITAKA AJITETEAJE?

ILA NINGEKUWA MIMI NINGESEMA SIWEZI KUJITETEA KWA MAMBO NISIYOYATENDA.
NAWEZAJE KUJITETEA KWA MAMBO NIYOYATENDA?

KUKUBALI KUJITETEA NI SAWA NA KUKUBALI KOSA KUWA NI KWELI ULILITENDA ILA SASA UNAOMBA UPUNGUZIWE ADHABU!!!
Sikiliza kijana usije ukajaribu kusema mahakamani neno "siwezi kujitetea " utachezea mvua hadi kichaa kikupande
 
Aliyekuwa Dc wa Hai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa amewatoa wasiwasi wafuasi wake kwa kuwapa kauli ya kiroho , Amesema hivi , Nanukuu , MSIJALI MAANA MUNGU YUKO KAZINI , Mwisho wa kunukuu .

Chanzo : Mwananchi

Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa shida iliyotokea kutokana na hukumu aliyopewa kijana wao .
Uko vizuri sana kwenye unafiki
 
IMG-20211015-WA0010.jpg
 
Back
Top Bottom