Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,688
- 3,395
Ana hali gani kwa sasa?Ukisikia yanayompata Makonda kiuchumi kwa sasa, utasema Mungu ni fundi.

Uongozi ni MAADILI....mama kasema!!Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti kongwe la RAIA MWEMA ni kwamba aliyekua mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Ole Sabaya anaogelea kwenye mabilioni ya shilingi.
Kazipataje hizi pesa wakati yeye ni mwajiriwa wa serikali? Ni biashara gani ya wazi Sabaya anafanya tusaidiane?
Eti mnaita huyo ndio Sokoine mpya, kuna watu hamliheshimu taifa kabisa.Endelee kumchukia Man kwa maamuzi yake kufurusha Manyang'anyi na majambazi yanayotumia madaraka yao kunitajirisha lakini Mama harudi nyuma.
View attachment 1785497
Uhuru wao wanasema ni Nani??Hili gazeti liliishakosa credibility.
Endelea kupiga porojo. Ulivyojibu tu, inaonesha huna elimu yeyote ya maana. Mwenye elimu na aliyeelimika asingeleta jibu la prorojo ya kiwango ulichokileta.Usomi wangu ni zaidi ya usomi was ukoo wako wote ndio maana huwezi kunielewa!
Mmmmh...Ukisikia yanayompata Makonda kiuchumi kwa sasa, utasema Mungu ni fundi.
Msio na elimu mnajua sana kujitetea. Kama akina Musukuma na Kibajaji.Endelea kupiga porojo. Ulivyojibu tu, inaonesha huna elimu yeyote ya maana. Mwenye elimu na aliyeelimika asingeleta jibu la prorojo ya kiwango ulichokileta.
Usikate tamaa, kuna njia nyingi za kujielimisha na ukaelimika kama ulishindwa kupata formal education. Lakini huwezi kueleimika kama huwezi kukiri upungufu.
Mkuu jumanne, umesha ambiwa kuwa jamaa alikuwa mbabe, sasa ule ubabe hanao tena, so it's there time to talk.Duuuuu lakini alipokua madrakani mlikua kimya
Kil Deal linsishia firce account ambayo ndio mwamba mwenyeweKakoko mwisho wa uchunguzi wake ilikuwaje? Limekaa kimya jambo hili.
Jambazi mkubwa sana huyu ashughulikiwe!Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti kongwe la RAIA MWEMA ni kwamba aliyekua mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Ole Sabaya anaogelea kwenye mabilioni ya shilingi.
Kazipataje hizi pesa wakati yeye ni mwajiriwa wa serikali? Ni biashara gani ya wazi Sabaya anafanya tusaidiane?
Eti mnaita huyo ndio Sokoine mpya, kuna watu hamliheshimu taifa kabisa.Endelee kumchukia Man kwa maamuzi yake kufurusha Manyang'anyi na majambazi yanayotumia madaraka yao kunitajirisha lakini Mama harudi nyuma.
View attachment 1785497
zipelekwa hazina, na wenyewe warudishiwe.Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti kongwe la RAIA MWEMA ni kwamba aliyekua mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Ole Sabaya anaogelea kwenye mabilioni ya shilingi.
Kazipataje hizi pesa wakati yeye ni mwajiriwa wa serikali? Ni biashara gani ya wazi Sabaya anafanya tusaidiane?
Eti mnaita huyo ndio Sokoine mpya, kuna watu hamliheshimu taifa kabisa.Endelee kumchukia Man kwa maamuzi yake kufurusha Manyang'anyi na majambazi yanayotumia madaraka yao kunitajirisha lakini Mama harudi nyuma.
View attachment 1785497
Mnamlaumu Bure SabayaKwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti kongwe la RAIA MWEMA ni kwamba aliyekua mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Ole Sabaya anaogelea kwenye mabilioni ya shilingi.
Kazipataje hizi pesa wakati yeye ni mwajiriwa wa serikali? Ni biashara gani ya wazi Sabaya anafanya tusaidiane?
Eti mnaita huyo ndio Sokoine mpya, kuna watu hamliheshimu taifa kabisa.Endelee kumchukia Man kwa maamuzi yake kufurusha Manyang'anyi na majambazi yanayotumia madaraka yao kunitajirisha lakini Mama harudi nyuma.
View attachment 1785497
Gazeti la Raia Mwema la jumamosi, 15 May 2021 limeripoti kuwa DC aliyefurushwa huko Hai, Lengai Ole Sabaya (34) amepekuliwa na vyombo vya ulinzi na usalama na kukutwa na ukwasi wa zaidi ya TZS 3 Bilioni. Kwa mujibu wa gazeti hilo baadhi ya fedha zimekutwa nyumbani kwake na nyingine kwenye taasisi mbalimbali za fedha.!
Weka screenshot ya hilo gazeti tuoneGazeti la Raia Mwema la jumamosi, 15 May 2021 limeripoti kuwa DC aliyefurushwa huko Hai, Lengai Ole Sabaya (34) amepekuliwa na vyombo vya ulinzi na usalama na kukutwa na ukwasi wa zaidi ya TZS 3 Bilioni. Kwa mujibu wa gazeti hilo baadhi ya fedha zimekutwa nyumbani kwake na nyingine kwenye taasisi mbalimbali za fedha.!