Lengai ole Sabaya akutwa na ukwasi wa Tsh. Bilioni 3 baada ya kupekuliwa

Kama huyu Jamaa alishakuwa na kashfa ya kujifanya usalama wa taifa na inasemekana alipatikana hata na vitambulisho vya kughushi ilikuwaje tena Mamlaka za uteuzi kumpa kazi nyeti Serikalini, au alishasafishwa na hizo kashfa za awali?.
 
Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti kongwe la RAIA MWEMA ni kwamba aliyekua mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Ole Sabaya anaogelea kwenye mabilioni ya shilingi...
Kwa kweli kama kuna sumu kwa mtu maskini ni ujinga na majungu,ona vijana wengi wa ccm wamejaa ujinga na majungu kutetea mafisadi kama vile: Magufuri, Biswalo, Ndugai, Makonda, Ole Sabaya, Mwigulu Nchemba na wengineo wengi ili malengo yao ya kutawaliwa milele yaendelee na kuendekeza utegemezi nchini.
 
Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti kongwe la RAIA MWEMA ni kwamba aliyekua mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Ole Sabaya anaogelea kwenye mabilioni ya shilingi...
Huyu kapuku kaisha kuwa millionea? Akamatwe aeleze haraka ana maelezo ya ziada. Na wale wafuasi wa legacy ya mwendazake wajiulize alikuwa nampango gani na nchi yetu? Makonda biloonea, doto billionea., biswalo bilionea wote wateule wa shujaa! Awamu ya tano awamu ya majambazi
 
Hawajadili gazeti. Wanamjadili Sabaya. Yaani umekosa uelewa hata wa kujua tu kinachojadiliwa? Na wewe ni miongoni mwa wale wasomi wa darasa la 7?
Usomi wangu ni zaidi ya usomi was ukoo wako wote ndio maana huwezi kunielewa!
 
Back
Top Bottom