ukwasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Ule UKWASI unaoonyeshwa kule katoro utawagharimu sana wananchi wa kawaida

    Wote tunajua ile sio hali ya kawaida kwa watu wengi wa hali ya kati na chini hapa Tanzania. Ni watu wa hache sana wenye uwezo ule wa kuchezea pesa. Actually, maisha yako tight sana huku kitaa. Watu wanahangaika sana, wangakula vumbi usiku na mchana mithili ya nyoka hawajui kesho itakuwaje. Ila...
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu Prof Mussa Assad: Kuna Waziri Kijana ana ukwasi wa kutisha miaka mitano tu madarakani!!

    CAG Mstaafu Profesa Mussa Assad amedai kuna Waziri kijana Awamu hii ya Sita ana ukwasi wa kutish alipoingia tu madarakani. Prof Assad amesema "Namjua kijana mmoja Waziri, ana magari matatu ya Shillingi 300 kils mojs,ana gari aina ya Range Rover, ana flats(maghorofa) hapa Dar es salaam chungu...
  3. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Bandar Dar ana Ukwasi usio wa kawaida

    Mkurugenzi anamiliki majumba ya kifahari maeneo tofauti tofauti jijini Dar huku akitumia vijana wake kadhaa kuchuma pesa kwenye bandari hiyo. Bado tunatafuta file lake, likikamilika tutalimwaga hapa
  4. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Kila wakiita interview wananikuta nina ukwasi wa kutosha hivyo napuuzia

    Wahenga wanasema kumpiga teke chura ni kumuongezea hatua sasa Serikali imenikaanga mtaani mwaka wa saba huu bila ajira nikatafuta chimbo likawa linanipa dor za kulipa bills zote za muhimu na vichenchi kidogo kubaki Sasa kuna wakati natamani ajira maana mishe zinakazaga kiasi kwamba hata kwa...
  5. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Ukwasi Muhimu: Vitu Kadhaa vya Kuzingatia (Cash is King)

    Habari wanaJF, Natumaini mmeamka salama. Dunia ishageuka kuwa uwanja wa vita: leo TZ, kesho Iran nk. Na mafuta yanaweza kupanda kwa sababu... tutaliongelea siku nyingine. Leo tujadili ukweli fulani wenye kauchungu: Kumiliki mali nyingi sio sawa na kuwa na ukwasi (cash flow). Unaweza kuwa na...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ni kichaa tu atatunza amani ili Wanasiasa, Viongozi na familia zao waishi maisha ya ukwasi kwa Ufisadi wa pesa za Umma

    Kuelekea tarehe 29 Oktoba 2025 napenda kuwaambia hawa wanasiasa mafisadi wanaotulisha propaganda za amani ili waendelee kuishi vizuri kwa ufisadi wanaofanya kwenye kodi zetu na mali zetu wanachi. Safari hii Wananchi tumekataa kuitunza amani ili wao waishi maisha ya ukwasi kwa kodi zetu huku...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Jasusi Mkuu na ukwasi wake wa ‘Dolari’ - ana biashara gani!?

    Kipindi fulani tuliskia dola zimeadimika, lakini watoto wa jasusi mkuu wanapiga nazo picha kama hela za nyanya. Wananzengo, hili jasusi kuu linamiliki biashara zipi na sisi tupate dolari.
  8. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania wanasiasa wengi ni mabilionea wana ukwasi ambao hata Bakhressa na Mo wafanye biashara miaka miamoja hawawezi kuwafikia

    Wanasiasa wengi kutoka Tanzania wapo na Ukwasi Mkubwa Ambao , hauelezeki . Ila wamechagua njia ya Ku-play low key . Hizo Lamborghini na Bugatti mnazoziona ni punje tu ya ukwasi wao. Hakikisha October Una-tiki√
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Ukwasi baadhi ya Viongozi Serikalini uchunguzwe

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ametoa wito kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumtaka Waziri wa Fedha kuidhinisha utoaji wa taarifa zote zinazohusu mikopo, mamlaka za rufani za kodi, misamaha ya kodi pamoja na mamlaka za uchunguzi. Mpina amesisitiza umuhimu wa taasisi kama...
  10. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Kwa ukwasi wa Mbowe, sioni kura kwa Lopo Lopo!

    Kwa ukwasi alio nao Mboe. Sioni wa kumnyima kura
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wanyama hawa kwenye ukwasi na starehe na maruhani ya lugha

    Kama unadhani maruhani yapo kwa viumbe hai utakuwa umekosea sana.. Maruhani yapo pia kwenye vitu visivyo na uhai na lugha pia Hebu waza kwa makini usahihi wa sentensi kama hizi 1. Maji yameenda kuchotwa 2. Nimemkuta hayupo Na watu daily wanazitumia bila shaka kabisa... Sasa kuna hili la wanyama...
  12. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Rais wangu unajitahidi sana tatizo kubwa ni upigaji na rushwa vinatisha ! Wateule wako kwa sasa Wana ukwasi wa kutisha!

    Kama rais utafanikiwa kufuatilia nyendo na maisha ya wateule wako utashangaa !! Awamu hii Haina ufuatiliaji kwa wateule wako ! Haina ukali na usimamizi huru wa rasilimali za nchi ! Wewe unatafuta hela ,unakopa ,unakusanya Kodi lakini pesa inatumiwa vibaya sana na wateule wako !! Wateule wako...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya facing a serious liquidity crisis, treasury says

    Kenya facing a serious liquidity crisis, treasury says Kenya's Treasury says the country is facing serious cash flow challenges due to the maturing debts that have delayed the disbursement of funds to various development projects. Treasury Cabinet Secretary Njuguna Ndung’u told the Finance and...
  14. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia ukwasi waliokuwa nao wafanyakazi wa bandari na ufanisi ni mdogo ni bora bandari ipewe mwekezaji

    Mod nakuomba huu uzi usiunganishe Ukiangalia hapa duniani management ni tatizo kubwa tuliokua nao waafrika sehemu yeyote katika nchi za kiafrika watu wanapigania matumbo yao na sio uhai na ufanisi wa taasisi au kampuni husika. Ukiangalia ukwasi waliokua nao wafanyakazi wa bandari binafsi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu Tanzania yasaini makubaliano na Clearfront kukabiliana na tatizo la ukwasi Sekta ya Fedha

    BoT YASAINI HATI YA MAKUBALIANO NA FRONTCLEAR KUKUZA MASOKO YA FEDHA Benki Kuu ya Tanzania kwa ushirikiano na Tume ya Umoja wa Mataifa ya Uchumi Afrika (UNECA) imetia saini hati ya makubaliano (MoU) na Taasisi ya Kukuza Masoko ya Fedha - Frontclear, yanayolenga kukuza sekta ya fedha nchini...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Miaka Miwili ya Samia ukwasi mabenki waongezeka

    Wadau wa huduma jumuishi za kifedha nchini wamesema diplomasia ya uchumi imeongeza uwekezaji na ukwasi katika benki mbalimbali kutokana na kuongezeka kwa mzunguko wa fedha. wamesema wawekezaji wapya na wafanyabiashara wa ndani wameongezeka imani yao ya kuhifadhi fedha katika benki hivyo kuongeza...
  17. USSR

    JamiiForums Tanzania Kipi hupelekea Waislamu kutoa sadaka kiduchu licha ya ukwasi walionao?

    Ndugu zangu hapa nimekaa na masheikh wa msikiti wa hapa mtaani wanasema kuwa wao wangekuwa viongozi wa makanisa wangekuwa matajiri kwa kuwa Wakristo hutoa sadaka nyingi sio sarafu kama Waislamu. Wamenihakikia kuwa kwa ijumaa ambayo ndio siku kubwa kwa wiki wao hupata elfu sita hadi kumi kwa...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati wa wafanyabiashara wakubwa (Wawekezaji) kutajirika kwa ukwasi wa mabilioni ya wajinga

    Habari! Neno mjinga halina uhusiano na matusi. Ni mtu asiyejua kitu kuhusu jambo husika. Kwahiyo kwakuwa Watanzania wengi hawajui yanayoendelea katika nchi yao kutokana na kukosekana kwa uwazi ndani ya shughuli za kiserikali basi ni vyema tutumie msamiati huu wa WAJINGA. Walipopiga hesabu na...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Katika vipindi vya mafanikio ndiyo unabidi kuhakikisha hausaidii mtu ili kulinda ukwasi wako

    Hakuna kitu kibaya kama umaskini, unapoona umefanikiwa kupata pesa hakikisha haumsadii mtu, hasa wanawake. Mimi nawashangaa hawa wasiyo na kazi mnapiga mchongo mnagawana labda 800 USD halafu yeye ya kwake anawekeza katika uchi. Siku chache anaanza kutibu UTI mara Syphilis na Gono. Tujifunze...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Reading in between the lines & listening in between the words. Ikitokea kuna kitu amekinoti lakini hakukisema, ukikijua kuna ubaya tumseme?

    Wanabodi, Hili ni Bandiko la swali, kuhusu moja ya zile mada ngumu za psychoanalysis, ambayo hoja zake ni vitu vya kufikirika tu na havijatamkwa rasmi, lakini vitu hivyo, vikisemwa na kujadiliwa kwa uwazi, vitalisaidia taifa. Watu tumeubwa tofauti tofauti, wengine ni good observers na wengine...
Back
Top Bottom