Lengai ole Sabaya akutwa na ukwasi wa Tsh. Bilioni 3 baada ya kupekuliwa

Alitumia madaraka yake vibaya sana, kutumia silaha za moto kuwatisha wafanyabiashara wampe mamilioni, hizo mali zake zinatakiwa kutaifishwa wakati yeye akienda gerezani.
Duuuuu lakini alipokua madrakani mlikua kimya
 
Miiko ya uongozi ipo wazi, lakini yawezekana walitumia madaraka vibaya sababu ya kujiona wapo juu sheria.
 
Utakuwa mmoja kati ya wale walinzi wa Sabaya, rudi shambani kalime.
Hapa Hai bilioni unazipataje?, tumewekeza sehemu zote muhimu, -kupandisha watalii MT. Kilimanjaro, migahawa, hotel za kulala watalii, mashamba ya kahawa, shule na majumuisho hayafiki 100 milion kwa mwezi, na hakuna mwenye billion anaishi na kufanya biashara Hai.

Unazipataje? Wenyeji tunajuana sana na hata kama hauishi Hai ukiwa tajiri tutajua.
 
We jamaa ni bure sana
Iyo hai igawanywe mara tano yani angekuwa tu anamiliki kata moja bado ubilionea siyo wa kuhoji kwa huyo jamaa ni vile tu hujui mambo yanafanyika vp
 
Ccm haina cha kumfanya Sabaya
Adhabu kubwa waliyoweza kumpa ni kumnyang'anya tu u DC na pia usishangae akakwaa nafasi nyingine kubwa zaidi huko baadae hiyo ndiyo ccm
 
Back
Top Bottom