Tunashukuru kwa aliyemwandalia haya maelezo Lema!
Lema ndiyo kaandika au kaandikiwa haya maelezo.
Lema ndiyo kaandika au kaandikiwa haya maelezo.
Hebu nikumbushe kidogo elimu ya lema! kama unaijua
Ujumbe alioutoa Lema ni kwamba ni sawa kwa CHADEMA kufanya makosa iwapo makosa hayo pia yanafanywa na vyama vingine. Naona mashabiki wa CHADEMA mnashangilia hili, sijui kama mmeelewa ina implication gani in the future!
Lema anasema "Hili ni jaribu kubwa kwa Serikali ya Kikwete na kama Mbunge ningeshauri fanyeni kama hamjaona jambo hili..." : hapa anamaanisha kuna makosa yanatakiwa kufumbiwa macho ili kukidhi mahitaji ya kisiasa. Je, huu ndio uongozi mnaoutaka watanzania? Hayo ndio mabadiliko yanayowafanya muandamane barabarani kila siku?
Safari barabarani, akili kichwani...
Lema ndiyo kaandika au kaandikiwa haya maelezo.
Mkuu, kwani vp yanamapungufu au yako sahihi? Binafsi naona ni maelezo makini.
Kwanza niseme huyu Mtu aliyesikiliza mkutano wetu na kuomba kupiga picha na sisi ni kweli atakuwa ni mwanajeshi sasa wa kambi hipi na wapi nawaachia Jeshi wafanye uchunguzi wao , lakini ushahidi wa haraka tu ni kwamba hata kabla ya kupiga picha na sisi alikuwa amekaa na na Askari Polisi ambao walikuwa wanalinda Usalama wa Mkutano, sasa swali la kujiuliza inawezekanaje Askari Polisi wakasima na Mtu aliyevaa nguo za Jeshi wakati sio Mwanajeshi na walikuwa wanaongea?
Kaandikiwa na Prof. Maji Marefu...Lema ndiyo kaandika au kaandikiwa haya maelezo.