Unafikiri huyo ni sawa na yule wa magogoni anayedanganywa kila siku!
Mungu akupe nguvu G.Lema
Unafikiri huyo ni sawa na yule wa magogoni anayedanganywa kila siku!
Kama kweli yule aliyepiga picha na kuhudhuria mkutano wa lema ni mwanajeshi.... Basi nadiriki kusema wazi chadema ni chama ambacho hakina jipya kabisa katika ukombozi wa nchii hii ni wanaiga na kuyatekeleza ya ccm... Nasema hivi kwa sababu chadema tunategemea wasiige ujinga au uozo wa ccm bali wenyewe wawe na vitu vipya ambavyo hata sisi wananchi tukiona na kusikia basi kweli tunaweza kusema hiki ndo chama kipya ambacho kitatuletea mambo mapya....
Chadema kila mara wamekuwa wanalalamika kuwa ccm inalifanya jeshi litumikie ccm kutokana na kuwatumia wanajeshi katika kufanya kazi za ccm ..imetolewa mifano mingi kuwa kuna wanajeshi ambao bado wako kazini wanateuliwa kuwa wakuu wa mikoa na wilaya ambao.... Kitendo cha chadema kupitia lema kumchukua na kumruhusu mwanajeshi kuhudhuria mkutano na kupiga nae picha ni wazi kabisa hata chadema nao wanatumia jeshi katika kutekeleza mikakati yao ya kisiasa jambo ambalo nibaya, na alikustahili kufanywa na chadema hata kidogo kama chama ambacho tunahitaji kupata kitu kizuri cha umoja wetu katika kutukomboa....kitendo hiki kinaendeleza fikra kama za ccm kutumia jeshi kufanikisha mambo yao ya kisiasa.... Ni hatari kwani jeshi halipaswa kutimika kama ngao ya kisiasa na kujiongezea umaarufu na kubadilishia watu fikra kuwa hata jeshi nalo linaunga mkono ...ukweli ni kitendo kibaya sana hakipaswa fanywa na chadema kabisa
shime chadema msiige ya ccm ikafika mahali tukaona nanyi ni wale wale kama ccm..
Lema ndiyo kaandika au kaandikiwa haya maelezo.
Mkuu, kwani vp yanamapungufu au yako sahihi? Binafsi naona ni maelezo makini.
kumbe huu ni mkutano wa chama cha siasa eti eeeh?Mbona huyu magamba kapiga picha na wanajeshi?
![]()
kumbe huu ni mkutano wa chama cha siasa eti eeeh?
Mbona huyu magamba kapiga picha na wanajeshi?
![]()
Lema ndiyo kaandika au kaandikiwa haya maelezo.
kumbe huu ni mkutano wa chama cha siasa eti eeeh?
JWTZ labda litawasaka wote hawa ili kuwajua ni akina nani nao wafutwe kazi kwa kukiuka taratibu za Jeshi Magamba la kutojihusisha na siasa kwa namna yoyote ile ikiwemo kupiga picha picha na wanasiasa au kuhudhuria vikao vya magamba kuanzia vya ngazi za chini hadi vile juu kabisa.