Lema: Sikuogopa nilipoona mwanajeshi anapiga picha na mimi

Lema: Sikuogopa nilipoona mwanajeshi anapiga picha na mimi

Lema ndiyo kaandika au kaandikiwa haya maelezo.
Ritz huamini kuwa kaandika mwenyewe? ha ha ha! Unamkumbuka yule aliyeandikiwa hotuba na January hivi " Your Excellence Madam Chairman ................." na yeye akasoma hivyo hivyo mkutanoni? tatizo wakati mwingine sio kuandikiwa ila ni kuhakiki na kuhariri.
 
"Wabunge wenu wanaendelea kufanya ngojera Bungeni ambayo inaitwa " nitaje majina au Nisitaje " eti kutaja majina ya wezi na yenyewe inahitaji Itafaki "
Hapa ajibu ZZK maana ndiye alisema ana majina halafu hakutaja kama alivoahidi! Jembe likirudi bungeni lazima majina yatajwe tuu!!
[/QUOT

Hivi kwani issue ya mabilioni ya uswis cdm hawakuwa na maamuzi ya pamoja kutokutaja majina.lema anapata wapi kiburi cha kusema wabunge wetu wanaimba ngojera bungeni.inamana lema angekuwepo bungeni wakati ule angetaja majina au anamanisha nn.mi nilidhani kwa kuwa bunge limeiagiza serikali kufanya uchunguzi wake na kuja na kauli ya nn serikali imefanya juu ya issue hii.

Namshauri lema mheshimiwa kupongeza hatua iliyofikia kwa sasa na kutoa wayforward na sio kubeza kazi iliyokwisha fanyika ambayo kwa kiasi kikubwa imefikia pazuri.
 
jembe la ukweli lema....ipo adabu ccm....wakuu wa mikoa wengi ni wanajeshi...kwann kwa hao isiwe tatizo iwe tatizo kwa huyo bwana mdogo mwajeshi?
 
Pesa ile ya Uswis ndugu yangu zimeyeyuka haionekani tena, hivo tuisahau tuu!Tanzania nchi ya ajabu!
 
kama nikweli huyo jamaa ni askari wa JWTZ minadhan kakosea, kaenda kinyume cha sheria ambayo anafahamu kabisa nimakosa kwa askari kushabikia chama cha siasa hadharani tena akiwa na mavazi ya jeshi husika! tusitolee mifano ya ma DC na ma RC kwani wao wanakuwa appointed na muda huo wanakuwa nje yajeshi sikama huyo aliejitokeza wazi tena akiwa na magwanda!

Kwanini wakati mwingine utakuta Mkuu wa Wilaya au Mkuu wa Mkoa amavalia sare za jeshi inapokuwa kuna jambo tete la kiuslama katika maeneo yao ya kazi??
 
lema wewe ni jembe la ukweli kungekuwa na wabunge kama kumi na tano wenye moyo kama wewe chama kingekuwa pazuri zaidi,siyo kama kina zito ndumila kuwili siyo poa.kaza buti lema hakuna kurudi nyuma
 
Quote "Hata hivyo kwa ufupi sana , Askari mdogo huyu kama atafukuzwa kazi kwa sababu ya picha aliyopiga na sisi basi tutaendelea kuthibitisha double standard ya utawala katika Taifa letu , huyu kapiga picha taarifa inatolewa na JWTZ , lakini wako wengi ambao ni wanajeshi wa vyeo vikubwa ambao sio tu wanapiga picha na viongozi wa Chama Tawala bali ni wafanya Kazi wa CCM , kwa mfano Wakuu wa Mikoa Tanzania ni Wajumbe wa kamati ya Mkoa ya Siasa ya CCM na pia hata Wakuu wa Wilaya ni Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya kupitia CCM , jaribuni kufanya tafiti zenu ndipo mtakapoelewa kwamba ni Wanajeshi wangapi wa vyeo vikubwa wako na wanafanya kaza na Chama Tawala kama Viongozi wa CCM.
Naona Mungu anataka kufungua ukurasa Mwingine katika katiba mpya tunyotarajia kuiandika na sio kila jaribu ni mkosi ukitazama kwa makini Dunia imefika hapa ilipofika kwa sababu ya vitu vingi vilivyoitwa makosa na kumbe zilikuwa ni hatua muhimu katika taratibu mbali mbali za mafanikio , huyu Kijana wakati anapiga picha aliongea na kusema " Nimechoka na ndugu zangu wamechoka CHADEMA tusaidieni mabadiliko ya kweli " haya maneno uwezi kuyafuta kwa mkwara na vitisho bali kwa kuboresha maisha ya Watanzania
Kwani waliochoka na ambao hawajapiga picha ni wengi sana tena yawezekana robo tatu ya Askari wote Tanzania na huu ni ukweli na Chama Tawala warudi wakatazame matokeo ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 katika kambi mbali mbali za Majeshi yetu.
Hili ni jaribu kubwa kwa Serikali ya Kikwete na kama Mbunge ningeshauri fanyeni kama hamjaona jambo hili kwani litafumua chuki kubwa kati ya Askari wadogo na wakubwa ambao kimsingi wengi wao kwa wazi kabisa wanatumikia CCM wazi wazi kwa nafasi mbali mbali katika Taifa letu , Kwa mfano Kanali Ndomba alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha kabla ya kuamishiwa Makao Makuu ya Jeshi na sasa ni Mnadhimu wa JWTZ"

Huu mfano nimeupenda sana!
Col. Samweli Ndomba Kabla ya kupewa zawadi ya Ukuu wa Mkoa Arusha na Kuhamia Makao makuu na hatimaye kuwa Mnadhimu JWTZ (vyeo vyote hivi ni ndani ya kipindi kifupi), alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera. Utafikiri alitoka Jeshini kwenda Ngara kwa kazi maalum, na kweli baada ya CCM kushinda akalambwa msululu wa vyeo kama ilivyotajwa hapo juu.
Pamoja na kwamba Col Samwel Ndomba alikuwa anajituma na asmart katika kazi yake ya Ukuu wa Wilaya sidhani ndiyo gia pekee iliyopelekea kupewa vyeo hivyo nyeti na Mkuu wa Majeshi kwa kipindi kifupi ...uswahiba na hoja ya Lema vinamantiki.
 
LEMA VIVA BRAVO. Mi nasema kijana huyo mjeda katega bomu sasa tunasubiria atakae litegua hapo ndipo mtakapoona uasi ndani ya JWTZ na MAJESHI MENGINE kwani km uasi ukishatokea wananchi waliochoka na maisha ndipo wataingia barabarani na nchi itakua imechafuka kwaio naamini kua busara itatumika ila wasije kukurupuka kwa kutumia akili za primary make wengi wao ndio elimu yao exprience inawasaidia cyo sawa na vijana wa ss wamesoma.
 
Mkuu Omutwale hilo dongo lipo aya ya ngapi??

"Wabunge wenu wanaendelea kufanya ngojera Bungeni ambayo inaitwa " nitaje majina au Nisitaje " eti kutaja majina ya wezi na yenyewe inahitaji Itafaki "
Hapa ajibu ZZK maana ndiye alisema ana majina halafu hakutaja kama alivoahidi! Jembe likirudi bungeni lazima majina yatajwe tuu!!
 
Ndiyo maana watu wanapinga vyeo vya ukuu wa Wilaya, Mikoa n.k.
 
.....tusaidieni japo kukemea na kutoa Tamko kwamba hamtaki Nchini yenu iendele kuibiwa tena , Ziko pesa zetu , Uswisi , Dubai , New Jersey , na sehemu mbali mbali Duniani.... na Wabunge wenu ....wanaendelea..... kufanya ngojera Bungeni ambayo inaitwa ...." nitaje majina au Nisitaje "..... eti kutaja.... majina ya wezi ......na yenyewe inahitaji Itafaki , hata hivyo namshukuru Mungu
kanirudisha Bungeni ....

Godbless J Lema. (Mp Arusha)
Kwa hiyo hapa anamsema zitto,,au siyo??manake zitto ndo mwenye majina.
 
Back
Top Bottom