jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,371
Hebu nikumbushe kidogo elimu ya lema! kama unaijua
first class economist kwiiii kwiii kwi
Hebu nikumbushe kidogo elimu ya lema! kama unaijua
Lema ndiyo kaandika au kaandikiwa haya maelezo.
Sipati picha vikao vijavyo vya bunge! Na kwa hii meseji ya 'itifaki' nadhani kuna mtu hatalala kwa wiki kadhaa zijazo" Kutaja majina ya wahalifu hakuhitaji itifaki wala muongozo wa spika, bali kunahitaji muongozi wa haki na ukweli" - Godbless Lema stated
.. wengi wao (wanajeshi wa vyeo vya juu) kwa wazi kabisa wanatumikia CCM wazi wazi kwa nafasi mbali mbali katika Taifa letu , Kwa mfano Kanali Ndomba alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha kabla ya kuamishiwa Makao Makuu ya Jeshi na sasa ni Mnadhimu wa JWTZ .
...
Godbless J Lema. (Mp Arusha)
Tunashukuru kwa aliyemwandalia haya maelezo lema!
Swali lako lingependeza zaidi kama ungemuuliza JK anayedanganywa na wasaidizi wake!
Lema ndiyo kaandika au kaandikiwa haya maelezo.
Duh, hii ni dharau isiyo ya kawaida, unawezaje kusema Lema hawezi kuandaa maelezo haya? Mbona ni maelezo ya kawaida kabisa kwa level ya uelewa wa Lema?Tunashukuru kwa aliyemwandalia haya maelezo lema!
unamjua lema wewe au unabwabwaja tu,Tunashukuru kwa aliyemwandalia haya maelezo lema!
Kama siyo lema aliyeandika basi itakuwa CHADEMA.Kama ni hivyo basi CHADEMA inatisha!Lema ndiyo kaandika au kaandikiwa haya maelezo.
Wengine tulishauri kuwa ni wakati JWTZ sasa kuwa genuine kwenye issue hii na si kudandia kwa kuwa ni CDM,bali kwenda nayo kwa umakini na kumaliza kiungwana na CDM, katika hali ya kitanzania,ikibidi hata kukaa meza moja na kusema inaonekana kijana wetu kapenda kuja kwenu basi tunawapa,kwa kuwa issue nzima kisheria na taratibu majeshi yetu hayapaswai kushrikia siasa,lakini inavyothibitika hivyo kwa ukweli hiko A, B na Che,ila kwa kuwa tuko kwenye mchakato wa mabadiliko ambayo ni halisi ikiwemo na evolution ya mabadiliko ya kizazi cha kitanzania basi hayo mabadiliko mengine ambayo yanajulikana wazi,basi kupitia uzoefu wetu wa kisheria basi tengenezeni proposal kisha zifanyieni kazi kwenye katiba kusudi wote kama watanzania tuvuke ilo dalaja kwa sasa.Jana ilikuwa ni sikukuu ya Noel .................
Ukiona mtu anamuweka Mungu mbelee da juu hayo ni mengine.....................ndio maana wengine tukasema kuna evolution ya kizazi cha Tanzania.Mungu anataka kufungua ukurasa ......................
Zingatia huyu ni mwakilishi wa wananchi na kauri yake ni kauri ya wanajamii...........ni jaribu kubwa kwa Serikali ya Kikwete na kama Mbunge ningeshauri fanyeni kama hamjaona jambo hili kwani litafumua chuki kubwa kati ya Askari wadogo na wakubwa ambao kimsingi wengi wao kwa wazi kabisa wanatumikia CCM wazi wazi kwa nafasi mbali mbali katika Taifa letu , Kwa mfano Kanali Ndomba alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha kabla ya kuamishiwa Makao Makuu ya Jeshi na sasa ni Mnadhimu wa JWTZ .
Maumivu ya kichwa uanza taratibu............................kabla halijamchukulia huyu Kijana hatua wafanye utafiti wa kina ni wangapi wanapaswa kufukuzwa kazi na kuondolewa vyeo vya kwa sababu ya kutumikia CCM ambacho pia ni Chama cha Siasa na pia mtusaidie sasa kulinda vyema rasilimali zetu ambazo Usalama wa Taifa na Polisi wameoneka kushindwa ndio maana Mnyama kama Twiga alipita Air Port ya Kilimanjaro bila mtu mmoja wa Usalama na kamera kumuona.
Maumivu ya kichwa yakizidi muone daktari...............hapa lema kamtafuta Daktari wa kwanza ambae ni JWTZ. imekaaje hiyo JWTZ....WTZ , tusaidieni japo kukemea na kutoa Tamko kwamba hamtaki Nchini yenu iendele kuibiwa tena , Ziko pesa zetu , Uswisi , Dubai , New Jersey , na sehemu mbali mbali Duniani na Wabunge wenu wanaendelea kufanya ngojera Bungeni ambayo inaitwa " nitaje majina au Nisitaje " eti kutaja majina ya wezi na yenyewe inahitaji Itafaki , hata hivyo namshukuru Mungu kanirudisha Bungeni.Godbless J Lema. (Mp Arusha)
SIKUOGOPA NILIPOONA MWANAJESHI ANAPIGA PICHA NA MIMI - GODBLESS LEMA.
" Nimechoka na ndugu zangu wamechoka Chadema tusaidieni mabadiliko ya kweli " haya maneno uwezi kuyafuta kwa mkwara na vitisho bali kwa kuboresha maisha ya Watanzania.
Kwa mfano Kanali Ndomba alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha kabla ya kuamishiwa Makao Makuu ya Jeshi na sasa ni Mnadhimu wa JWTZ .
Jeshi kabla halijamchukulia huyu Kijana hatua wafanye utafiti wa kina ni wangapi wanapaswa kufukuzwa kazi na kuondolewa vyeo vya kwa sababu ya kutumikia CCM ambacho pia ni Chama cha siasa.
Godbless J Lema. (Mp Arusha)
Mkuu Shardcole ujasiri wa Lema naufananisha na ujasiri wa Kamanda Ben Saanane.