Lema: Mawakili msihangaike tena

Lema: Mawakili msihangaike tena

5c79cef4b2ff1410c58e762a0a8a2c2d.jpg
Magazeti mengine bwana. Sasa huyo Mama Salma Kikwete kulipia kodi mizigo yake bandarini ndiyo kuisoma namba? Kwa vile ni mke wa ex president ndiyo asilipe kodi? Au WAMA wana tax exemption? Sijaelewa ishu hapa ni nini na maana nzima ya dhana ya kuisoma namba. Naomba ufafanuzi please!
 
Anyooshwe tu, hata kama atapata umaarufu zaidi lakini cha moto pia amekipata. Asitake kulaumu serikali wakati mawakili wake wote wabovu. Hivi na yule wakili wenu bingwa duniani yuko wapi, naona amekaa kimya kabisa.
 
serikali imekosea sana, hii itapaisha sana upinzani maana sasa Lema anaungwa mkono hata na vijana wa ccm
Vijana gani wa C.C M mbona mimi simuungi mkono na ni kijana wa CCM. Labda useme baadhi ya vijana wa CCM
 
mtakubaliana tu,na sisi kina gogo la shamba pale tuliposema kwamba,Lema amejiwekea sifa kubwa sana kuwa miongoni mwa viongozi wanaotetea haki duniani, huyu atafananishwa na Mandela
nyny endeleeni kumjaza kichwa tu lema, mwisho wa siku ataanza kujiona yy ni mkubwa ndan ya CDM na hapo ataanza kutaka kuwa mwenyekt ndipo mbowe atamCHACHA WANGWELAIZESHENI.
 
Yaani wangejua kuwa ndiyo wanazidi kumjenga, poor them!
 
mtakubaliana tu,na sisi kina gogo la shamba pale tuliposema kwamba,Lema amejiwekea sifa kubwa sana kuwa miongoni mwa viongozi wanaotetea haki duniani, huyu atafananishwa na Mandela

Wewe ndio unadhani hivyo

Only cowards wanafikiri kama wewe

Kwani jela ni kwa watu fulani?...hata wewe kesho unaweza kujikuta jela tu...huko pia kuna maisha

Lema sio mara ya kwanza kwenda jela...na alishawahi kujipeleka hata yeye mwenyewe...kama mnadhani mnamkomoa Lema kwa kumpeleka Jela Mnakosea

Hivi mfano angeota huyo bwana ako atakuwa rais wa afrika angekamatwa? Get your senses mkuu...tumieni akili

Agani...Kisiasa kumfunga mwanasiasa ni kumpandisha level Yake
sasa kama amewahi kujipeleka mwenyew jela, alikuwa anahangaika na dhamana ya nn? maana inaonekana anapenda kuishi kwenye shimo la tewa.
 
Magazeti mengine bwana. Sasa huyo Mama Salma Kikwete kulipia kodi mizigo yake bandarini ndiyo kuisoma namba? Kwa vile ni mke wa ex president ndiyo asilipe kodi? Au WAMA wana tax exemption? Sijaelewa ishu hapa ni nini na maana nzima ya dhana ya kuisoma namba. Naomba ufafanuzi please!

mimi namhrumia sana mbowe hasa katika swala la kuunganisha CDM na biashara zake , ukichora graph za biashara za mbowe 2010,2011,....2015.. utaona tofouti kubwa sana , leo wahariri wamekuwa wakirudhiwa vijihabari kwa cm na kivipacha kwenye front pg ili wauze , huko tunakoelekea , kuna siku hili gazeti litafungwa ,
 
5c79cef4b2ff1410c58e762a0a8a2c2d.jpg

Awaaga ndugu zake na familia yake na mtoto wake.

Asema hakuna haja ya kuangaika na kesi isiyosimamiwa na mahakama Bali inasim! !!iwa na dola .

Asema mawakili wapumzike mpaka dola litakapoamua kuachiwa kwake.
Aache ujinga asituumuze vichwa. Kwani wakati anatoa matamshi yake alituhusisha. Hakujua kuna mahakama.inayosimamiwa na dola.?? So kwa hiyo alikua anaijaribu kama inafanya kazi au la !
 
~~~>>>>Lema akitoka Kisongo hatorudia tena Ujinga wa Kutukana........... Amepewa muda mzuri wa kuota mambo yote.... Akitoka huko hakuna tena ndoto.

~~~~>>>>Hili ni somo kwa Wanasiasa mfano wa Lema...... Bado Sero hazijajaa kwaajili ya watu wenye vichwa vigumu kama Lema...
 
~~~>>>>Wananchi wa Arusha hawakumchagua Lema ili awasimulie ndoto zake za Kijinga........ Bali walimchagua ili awatumikie.

~~~>>>Ndoto zake hazitawajengea barabara, Wala kuleta dawa hospitali...... Bali ndoto zake ni za kutafuta Sifa za Kijinga...

~~~>>>>>Sasa Krismass na Mwaka Mpya atasherehekea Lupango wakati Makamanda wakimfariji mtandaoni.
 
Hivi jela inazidi nguvu za kifo?
 
Niliwaambia lema hataki kutoka Kisongo na ameenda kwa mapenzi yake mwenyewe, msijaribu kuingilia uhuru na mapenzi yake kwani yeye anaenjoy kuwa kule na mwenza wake.
 
Back
Top Bottom