Lema: Mawakili msihangaike tena

Amalinze

JF-Expert Member
May 6, 2012
6,721
2,000
DU mpaka February ni mbali sana,hivi mshahara atakuwa analipwa wa ubunge?
 

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,667
2,000
Always nasema hapa serikali inafanya big big mistake kumuwek huyu jamaa ndani maana kama hawaoni basi watakuja kuona kama kweli au lah....maana kwa jinsi hali ilivyo sasa hivi hapo watu hawajafurahi kbisaa mahakama kufata sheria za mtu binafsi.....
 
Top Bottom