Lema: Mawakili msihangaike tena


N

nyikila

Member
Joined
Jan 23, 2017
Messages
23
Points
45
Age
35
N

nyikila

Member
Joined Jan 23, 2017
23 45
Tumeambiwa kutii mamlaka iliyowekwa na Mungu. Utii ni bora kuliko sadaka, astahiliye heshima apewe. Rais aliyepo sasa ni mhe JP. No body else. Uhuru una mipaka. Huwezi kumsema kiongozi wako hadharan au baba yako. Heshimu tu kama Kuna mapungufu atatoa hesabu mbele za Mungu
 

Forum statistics

Threads 1,285,104
Members 494,437
Posts 30,850,039
Top