Lema: Mawakili msihangaike tena

Tuko pamojah Lema tunakuamini sisi wana wa A Town utatutumikia hata kama uko gerezani na 2020 tutakuchagua hata kama uko gerezani


swissme
Kabisa Lema tupo pamoja, wewe piga maisha huko sisi tunapiga huku kivyetu huo ndio ukamanda.Komaaa hadi 2020alafu komaa tena 2025.utakuwa umepata miujiza yakutosha
 
Always nasema hapa serikali inafanya big big mistake kumuwek huyu jamaa ndani maana kama hawaoni basi watakuja kuona kama kweli au lah....maana kwa jinsi hali ilivyo sasa hivi hapo watu hawajafurahi kbisaa mahakama kufata sheria za mtu binafsi.....

Msilalamike sana, uwa mnasema kuwa Tanzania hakuna sheria. Sasa sheria zinafanya kazi, mnaanza kulalamika.
 
Tuko pamojah Lema tunakuamini sisi wana wa A Town utatutumikia hata kama uko gerezani na 2020 tutakuchagua hata kama uko gerezani


swissme

Katolewa kafara Na majangili ya Ukawa.
Nyie watu A,B Na C towns lieni tu
 
1480751596081.jpg
 
Hawa ndio wale wafungwa/mahabusu ambao Mh.Rais aliwaongelea kwamba "wanakula kuku"gerezani mpaka wanatamani kufungwa kila siku,anatakiwa apewe kiunga huko aliko itena bila jembe na ALIME KWA KUTUMIA MENO.
 
hakuna marefu ya sio na ncha ccm na serkali yaje watalipa wanacho kipanda
 
Ogopa sana mtu ambaye ana mungu anayesali na kuomba na kumlilia mungu wake.. Hali ya kwamba wewe unategemea jeshi na mifumo mingine kukandamiza wanyonge.. Hata farao alisalimu amri kwa nabii musa ambaye alikuwa na mungu hali ya kwamba yeye alikuwa na jeshi na kila kitu cha kumkandamiza mnyonge.
 
Back
Top Bottom