Lema: Mawakili msihangaike tena

5c79cef4b2ff1410c58e762a0a8a2c2d.jpg

Awaaga ndugu zake na familia yake na mtoto wake.

Asema hakuna haja ya kuangaika na kesi isiyosimamiwa na mahakama Bali inasimamiwa na dola .

Asema mawakili wapumzike mpaka dola litakapoamua kuachiwa kwake.
Naye Lema asihangaike kutoka lupango.
Akae atulie.
 
suala hilo ni kukomoana tu,ila naye lema aache mambo ya kujibizana na dola,ni vema awe anajikita na kuwatumikia wana Arusha kikamilifu kuliko kila siku yeye kujipata na malumbano na viongozi wa ccm,kwani mbona hata baadhi ya wabunge wengine wa ukawa na chadema hawana haya matatizo anayopata lema?
Lema siyo mnafiki
suala hilo ni kukomoana tu,ila naye lema aache mambo ya kujibizana na dola,ni vema awe anajikita na kuwatumikia wana Arusha kikamilifu kuliko kila siku yeye kujipata na malumbano na viongozi wa ccm,kwani mbona hata baadhi ya wabunge wengine wa ukawa na chadema hawana haya matatizo anayopata lema?
 
5c79cef4b2ff1410c58e762a0a8a2c2d.jpg

Awaaga ndugu zake na familia yake na mtoto wake.

Asema hakuna haja ya kuangaika na kesi isiyosimamiwa na mahakama Bali inasimamiwa na dola .

Asema mawakili wapumzike mpaka dola litakapoamua kuachiwa kwake.
ndoto nyingine noma!!
 
Wasiojitambua labda, hata huko selo watu wanauliza umekuja na kesi gani sio hiyo ya Lema ya Kiboya sana anajazia watu nafasi kwa kupenda sifa. Mwenyewe katupa silaha chini ili ajue kuna watu wamepinda zaidi yake serikali lazima imnyooshe yeye nani mpaka awe analeta ujinga huo huo kila siku.

Yaani watu wanaenda mahakamani kufatilia kesi ya kijinga kuliko zote na anamawakili wa chama chake wakati watu wanazo kesi ngumu wanashindwa kupata mawakili wa kuwawakilisha.

Upinzani utapaa kwa kuletea watu maendeleo na sera mbadala za kutatua ugumu wa maisha na kero za watu sio kwa ujinga wa Lema.
Nini Sasa hicho umeandika
 
Back
Top Bottom