Lema: Mawakili msihangaike tena

Wewe ndio unadhani hivyo

Only cowards wanafikiri kama wewe

Kwani jela ni kwa watu fulani?...hata wewe kesho unaweza kujikuta jela tu...huko pia kuna maisha

Lema sio mara ya kwanza kwenda jela...na alishawahi kujipeleka hata yeye mwenyewe...kama mnadhani mnamkomoa Lema kwa kumpeleka Jela Mnakosea

Hivi mfano angeota huyo bwana ako atakuwa rais wa afrika angekamatwa? Get your senses mkuu...tumieni akili

Agani...Kisiasa kumfunga mwanasiasa ni kumpandisha level Yake
lol, haya kamanda mpe moyo, ila humwonei huruma kabisa, ujue lema ni baba na ana familia inamtegemea, pia ni mbunge kuna wananchi wa jimbo la arusha mjini wanamtegemea. Vizuri mshauri aepuke hayo mambo ya kupenda jela maana hiyo ndoto yake ya kumtabiria mkulu kifo sidhani kama ina msaada kwa wapiga kura wa arusha mjini?
 
Umeisikia Familia yake ilivyo strong kuhusu hili....Only a coward ataogopa kupigania kile anachoamini kwa sababu ya woga huo ulionao

Arusha Ndio kabisaa usisema....Wanampenda sana Mbunge wao na nakuhakikishia hata akiwa jela atapigiwa kura.......

Lema was right...Mtu anayejikweza ni chukizo mbele ya Mungu....na Ndicho Mungu huwa Akifanyacho...Anachukua tu mali yake

Pia uelewe...Kumfunga mwanasiasa ni kosa kubwa kisiasa
 
Hiyo ndio hali halisi ya mahakama zetu, muda ndio utakaojieleza,

Kwa hili suala la Lema mnachelewesha tu haki yake ya msingi.
 
Kwani mahakama iliyokataa kumvua ubunge Ester Bulaya vs Tyson, mahakama iliyoamuru marehemu Alphonce Mawazo aagwe uwanja wa furahisha kinyume na matakwa ya serikali, na maamuzi mengi mengine in favour of anti government zote hazikuwa huru?
 
Lema ndo shujaa wangu wa kipindi chote hiki cha udharimu dhidi ya binadamu hapa Tanzania kwa sasa chini ya Rais Magufuli.

Ni bora kuishi gerezani, ikiwezekana hata kaburini kuliko kuyashuhudia madhira wanayoyapata watanzania kwa sasa, huko mwa Mwanza akina mama na vijana wanalia kwa kubomolewa vibanda vyao ambavyo serikali hii hii iliwapangia kufanya biashara zao hapo nami ni suhuda wa zoezi la kupangiwa maeneo hayo but leo wananyanyaswa na kudhalilishwa hadhalani.

Dar es salam maelfu ya watanzania na familia zao wana teseka kwa kubomolewa nyumba zao kwa makosa, nyumba zaidi ya 500 zimebomolewa kwa ulevi wa madaraka tu watu hao wanalala nje na familia zao kwa udharimu wa viongozi chini ya bwana mkubwa pale Ikulu.

Bukoba watu wanateseka pesa za rambi rambi zimeliwa na serikali hii hii dharim kwa kuzielekeza kwenye majukumu yasiyokusudiwa wakati kuna bajeti chini ya ofisi ya waziri mkuu ya mfuko wa maafa.
Mtaani ni vilio tu kila kona, kampuni zinafilisika, mabenk hayana faida tena, wananchi wanafirisiwa vitu vyao na vikoba kwa kushindwa kurejesha mikopo, wanafunzi vyuo vikuu wanateseka maelfu kwa maelfu kwa kukosa mikopo, wakulima jijini wamendanganywa hakuna pembejeo hadi sasa, bombadia yetu moja imekufa, na mengine mengi.

Hivi kwa nini Lema asikae magereza kuliko kushuhudia udharimu huu dhidi ya watanzania?
 
Ccm wanaona eti Lema ndiyo wao kuliko akili Yao ya kuonga,tisheti na chumvi kwa kuwalagahi watanzania kuwapa kura,tisheti zenyewe wamemtapeli Shigongo
 
5c79cef4b2ff1410c58e762a0a8a2c2d.jpg

Awaaga ndugu zake na familia yake na mtoto wake.

Asema hakuna haja ya kuangaika na kesi isiyosimamiwa na mahakama Bali inasimamiwa na dola .

Asema mawakili wapumzike mpaka dola litakapoamua kuachiwa kwake.
Uamuzi mzuri japo mahabusu kuna madhara yake
 
lol, haya kamanda mpe moyo, ila humwonei huruma kabisa, ujue lema ni baba na ana familia inamtegemea, pia ni mbunge kuna wananchi wa jimbo la arusha mjini wanamtegemea. Vizuri mshauri aepuke hayo mambo ya kupenda jela maana hiyo ndoto yake ya kumtabiria mkulu kifo sidhani kama ina msaada kwa wapiga kura wa arusha mjini?

Kwahiyo zile traffic light za chato zina faida na wale wapiga kura? Kinachoendelea ni matumizi mabaya ya madaraka.
 
Yaani huyo hakimu hana hata mshipa wa aibu na unakuta anapenda kanisani au msikitini kabisa
 
Lema ndo shujaa wangu wa kipindi chote hiki cha udharimu dhidi ya binadamu hapa Tanzania kwa sasa chini ya Rais Magufuli.

Ni bora kuishi gerezani, ikiwezekana hata kaburini kuliko kuyashuhudia madhira wanayoyapata watanzania kwa sasa, huko mwa Mwanza akina mama na vijana wanalia kwa kubomolewa vibanda vyao ambavyo serikali hii hii iliwapangia kufanya biashara zao hapo nami ni suhuda wa zoezi la kupangiwa maeneo hayo but leo wananyanyaswa na kudhalilishwa hadhalani.

Dar es salam maelfu ya watanzania na familia zao wana teseka kwa kubomolewa nyumba zao kwa makosa, nyumba zaidi ya 500 zimebomolewa kwa ulevi wa madaraka tu watu hao wanalala nje na familia zao kwa udharimu wa viongozi chini ya bwana mkubwa pale Ikulu.

Bukoba watu wanateseka pesa za rambi rambi zimeliwa na serikali hii hii dharim kwa kuzielekeza kwenye majukumu yasiyokusudiwa wakati kuna bajeti chini ya ofisi ya waziri mkuu ya mfuko wa maafa.
Mtaani ni vilio tu kila kona, kampuni zinafilisika, mabenk hayana faida tena, wananchi wanafirisiwa vitu vyao na vikoba kwa kushindwa kurejesha mikopo, wanafunzi vyuo vikuu wanateseka maelfu kwa maelfu kwa kukosa mikopo, wakulima jijini wamendanganywa hakuna pembejeo hadi sasa, bombadia yetu moja imekufa, na mengine mengi.

Hivi kwa nini Lema asikae magereza kuliko kushuhudia udharimu huu dhidi ya watanzania?
Very very sad kwa kweli mi nawaone huruma watanzania waliowengi kwa kuendelea kunyimwa elimu na kudanganywa na magamba miaka yote.
 
Anyway pole sana Mh Lema , naomba Mungu azidi kukupa nguvu!!!!!!
PAMOJA SANA.
 
5c79cef4b2ff1410c58e762a0a8a2c2d.jpg

Awaaga ndugu zake na familia yake na mtoto wake.

Asema hakuna haja ya kuangaika na kesi isiyosimamiwa na mahakama Bali inasimamiwa na dola .

Asema mawakili wapumzike mpaka dola litakapoamua kuachiwa kwake.
Wamemwambia ukweli kuhusu upuuuzi "alioota" na consequences zake.
 
anyooshwe tu hakuna namna.
Mungu anakuona na nyie ndiyo watu mnaoipeleka Tanzania ktk laana kwa sababu ya uonevu usiokuwa na sababu ebu mumwogope Mungu ambaye kila siku mnamtaja hivi mnafikiri Mungu anafurahia uonevu huo mnaomfanyia Lema hakika Mungu yupo yule anayejibu kwa wakati maana Mungu awahi wala achelewi ktk hili ninahakika atatenda na atajibu. Ee Mungu irehemu Tanzania usituache Baba maana wewe ni Mfalme wa Amani tunakuomba amani yako itawale ktk nchi yetu tunaomba shetani asipate nafasi ya kuivuruga hii amani wafungue macho ya rohoni wenye mamlaka wape kutuongoza watanzania kwa kufuata misingi ya haki bila uonevu wala ubaguzi wape kutambua kuwa hizo nafasi umewapa hili watende haki na IPO siku watatoa hesabu mbele zako Eee Baba ninakusihi sana kupitia jina la mwanao mpendwa Yesu Kristo. Amina
 
Back
Top Bottom