Hata akirudi ila kilimilimi kitakua kimekwisha na atakua mpole kama lisuVery very mistake lema 2020 atarudi kwa tsunami la kura
akitoka akibwabwaja tena tunamrudisha ndani tenahahaha . ..u think so? hivi unadhani mtamfunga mdomo lema kwa haya mnayomfanyia
Yaani anafanya siasa kila kitu alafu wengine kawaambia mpaka 2020Hata kama bado namwunga mkono rais, hili ni moja ya mambo ya kipuuzi kabisa yanayotokea 'under his watch'.
Hela ziko nyingi sana ccm , tena za bure , wakati Mandela anapambana na makaburu hakuwaza hela .DU mpaka February ni mbali sana,hivi mshahara atakuwa analipwa wa ubunge?
![]()
Awaaga ndugu zake na familia yake na mtoto wake.
Asema hakuna haja ya kuangaika na kesi isiyosimamiwa na mahakama Bali inasimamiwa na dola .
Asema mawakili wapumzike mpaka dola litakapoamua kuachiwa kwake.
Mwanasheria Alberto Msando kaandika; Suala la Lema ni la kisheria. Tuache kupotosha na kujivika huzuni za kinafiki. Kwa mnaosema labda Lema anaonewa ni vyema mkaelewa issues za kisheria involved. Kilichotokea ni Mahakama kuamua on technicalities. Any good lawyer knows this. System yetu ya sheria ni adversarial. Winner takes all. Mahakama siyo chombo cha sympathy. Mwenzako akikuwahi amekuwahi. Kwa upande mwingine hebu tujadili 'noble cause' ya Lema ambayo anaipigania kwa kuangalia kesi gani zinamkabili. Je anashtakiwa kwa makosa gani? Tukiyajua na kuyaelewa tutakuwa katika nafasi nzuri ya kuhuzunika au kushauri. Naamini huu ni wakati wa Lema kuangalia upya strategy zake za kutafuta haki. Naamini wabunge wengine wa CDM na viongozi wao wanatafuta haki pia. Je mbona wao hawako ndani au hawajanyimwa dhamana? Je kuna mahali Lema anakosea? Au wengine ndio wanakosea? Tujadili kwa mapana kumsaidia Lema na kumtia moyo. Sio kishabiki. We must remain objective. My take issue ya Lema inahitaji busara zaidi ya ubishi na ujuaji.![]()
Awaaga ndugu zake na familia yake na mtoto wake.
Asema hakuna haja ya kuangaika na kesi isiyosimamiwa na mahakama Bali inasimamiwa na dola .
Asema mawakili wapumzike mpaka dola litakapoamua kuachiwa kwake.
mtu binafsi nani?Always nasema hapa serikali inafanya big big mistake kumuwek huyu jamaa ndani maana kama hawaoni basi watakuja kuona kama kweli au lah....maana kwa jinsi hali ilivyo sasa hivi hapo watu hawajafurahi kbisaa mahakama kufata sheria za mtu binafsi.....
Funga jera kabisa huyo![]()
Awaaga ndugu zake na familia yake na mtoto wake.
Asema hakuna haja ya kuangaika na kesi isiyosimamiwa na mahakama Bali inasimamiwa na dola .
Asema mawakili wapumzike mpaka dola litakapoamua kuachiwa kwake.
Mungu eti ni mkuu Wa mkoa.Mungu amtie nguvu na kumsimamia.
Kwendeni zenu huko,mnatumia kodi za wananchi kwa kutwanga maji ambayo hayatwangiki kwenye kinu wakati kodi hizo zingitumika kutatua matatizo lukuki yanayowakabiri wananchi.Funga jera kabisa huyo
Nyambafu zake....
eti pepepe...epe...pepe...!
midomo mirefu kama ya bata
Kuna wakati nilidhani ni mwansiasa ngulisuala hilo ni kukomoana tu,ila naye lema aache mambo ya kujibizana na dola,ni vema awe anajikita na kuwatumikia wana Arusha kikamilifu kuliko kila siku yeye kujipata na malumbano na viongozi wa ccm,kwani mbona hata baadhi ya wabunge wengine wa ukawa na chadema hawana haya matatizo anayopata lema?