Lema: Mawakili msihangaike tena

Lema: Mawakili msihangaike tena

Tuko pamojah Lema tunakuamini sisi wana wa A Town utatutumikia hata kama uko gerezani na 2020 tutakuchagua hata kama uko gerezani


swissme
Mko pamoja kwani na wewe uko gerezani?? Acha utani bwana. Badara ya kumshauri aache matusi kama mtoto mdogo halafu unasema uko pamoja naye weweee. Achabwembwe.
 
Wasiojitambua labda, hata huko selo watu wanauliza umekuja na kesi gani sio hiyo ya Lema ya Kiboya sana anajazia watu nafasi kwa kupenda sifa. Mwenyewe katupa silaha chini ili ajue kuna watu wamepinda zaidi yake serikali lazima imnyooshe yeye nani mpaka awe analeta ujinga huo huo kila siku.

Yaani watu wanaenda mahakamani kufatilia kesi ya kijinga kuliko zote na anamawakili wa chama chake wakati watu wanazo kesi ngumu wanashindwa kupata mawakili wa kuwawakilisha.

Upinzani utapaa kwa kuletea watu maendeleo na sera mbadala za kutatua ugumu wa maisha na kero za watu sio kwa ujinga wa Lema.
Hoja?
 
sasa kama amewahi kujipeleka mwenyew jela, alikuwa anahangaika na dhamana ya nn? maana inaonekana anapenda kuishi kwenye shimo la tewa.

Ishu ya dhamana ni kuweka rekodi sawa tu
 
kaka jela sio kuzuri, unasema hivo sababu sio ww uliye huko jela, na uhakika kitendo cha kukaa ndani lema anaisoma namba vilivyo, naye lema kazidi kosa alilofanya ni kubwa sana na kutangaza njama na nia za mkulu wa nchi atakufa kabla ya mda fulani! yaani aliweka na time frame kabisa duh alafu anajificha nyuma ya mgongo wa ndoto.
Kwani Mkullu aogopa kufa?
 
Mdogo angu Lema ww una maono nakuamini komaa MUNGU yupo nawe na Taifa hili Lita komboka kupitia kwako tupo pamoja nawe.
 
~~~>>>>>Tundu Lisu alishasoma mchezo akaamua kukaa kimya........ Nayeye angeendelea muda huu angekuwa ananye debe...

~~~>>>>Upinzani sio Matusi.....
 
Yaani anafanya siasa kila kitu alafu wengine kawaambia mpaka 2020
Huwezi kumtabiria Rais wetu KIFO eti kabla ya 2020
wewe nani Nabii??
au mti wa siasa za majitaka zilizojaa unafiki
kwanini usisubiri 2020?
 
Labda uchumi na viwanda na ajira vitateremka kama theluji! Maana muda mwingi no kufukuzana na upinzani.Huenda walioteshwa siri ya mafanikio ni kumficha.Akili,mipango sahihi na rasilmali ni kila kitu wala so fitina.
 
Huwezi kumtabiria Rais wetu KIFO eti kabla ya 2020
wewe nani Nabii??
au mti wa siasa za majitaka zilizojaa unafiki
kwanini usisubiri 2020?
Wewe umemwondelea kifo au umekifuta kifo?.kifo kina mamlaka kuliko mamlaka za viongozi wetu.kimetawala toka adamu hadi sasa.tutake tusitake kipo na kitatuua tu
 
Arusha imetualia inafuatilia hili suala so serious.
Matokeo yake atayaona huyu Gambo anayetafuta Ubunge Arusha na huyo Magufuli wake.

Watumie nguvu zote wanazozijua na sisi wananchi tutatumia nguvu zetu ndogo tulizonazo
 
pole kamanda lema, I can feel your pain. mungu atawalipa tu siku moja
 
Ua tunasema unaweza leta dhihak utakavo na ukaachwa bt ukizdi kipimo ni tatzo,huyu alilemazwa akashinda vikesi mdomo ukamzidi kakumbana nacho,acha atoe somo kwa waropokaji wenzie.
 
Wewe ndio unadhani hivyo

Only cowards wanafikiri kama wewe

Kwani jela ni kwa watu fulani?...hata wewe kesho unaweza kujikuta jela tu...huko pia kuna maisha

Lema sio mara ya kwanza kwenda jela...na alishawahi kujipeleka hata yeye mwenyewe...kama mnadhani mnamkomoa Lema kwa kumpeleka Jela Mnakosea

Hivi mfano angeota huyo bwana ako atakuwa rais wa afrika angekamatwa? Get your senses mkuu...tumieni akili

Agani...Kisiasa kumfunga mwanasiasa ni kumpandisha level Yake
..Kama anapaishwa kisiasa mnamtetea wa nini?..
 
Back
Top Bottom