Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

"JMBO LA ARUSHA LINAINYIMA SERIKALI YANGU USINGIZI....HAPANA....HAPANA.. .LAZIMA TUFANYE KITU PALE....!!! "

waziri-mkuu-mizengo-pinda.jpg
 
There are currently 3346 users browsing this thread. (1324 members and 2022 guests)
 
Huku JF simuoni MACHANGE,JULIANA,MWAMPALAMPA wala sterling wao ZITO, watakuwa mikia wameifyata hadi haionekani! Big Up LEMA
 
Demokrasia Tanzania inazidi kupata mwelekeo mpya, wanachama wa vyama vya siasa wanapaswa kuwa makini sio kukurupuka na ushabiki utakao waingiza matatani kama hawa wa magamba
 
xmas na new year 2013 itakuwa mbaya kwa jaji aliyehukumu kesi hii kule arusha.
 
"JMBO LA ARUSHA LINAINYIMA SERIKALI YANGU USINGIZI....HAPANA....HAPANA.. .LAZIMA TUFANYE KITU PALE....!!! "

waziri-mkuu-mizengo-pinda.jpg


Ha! ha! ha! ha!,mkuu umenichekesha sana.Pinda anaiogopa sana Peoplesss Powerrrrrrrr
 
Makamanda vipi leo JK ajaingilia hii kesi? Siku zote Rais wetu JK atabaki kuwa Rais makini mwenye kuheshimu uhuru wa mahakama.

Siku zote napenda kuheshimu maamuzi ya mahakama haki ni kipimo bora cha utawala wa JK.

Hongera Chadema hongera Lema.

Nyakati nyingine unatoa hoja za busara. Hongera Lema,hongera CDM. Ni funzo kwa wale wote wanaopenda kupindisha sheria na haki kwasababu wana madaraka! Gharama za kesi hii itakuwa mwiba mkali kwa magamba yaliyo fungua kesi ya kipuuzi!
 
Kila kwenye hila Mungu yupo mbali na penye haki Mungu yupo pamoja, piiiiiiiiiiiiipoz
 
There are currently 3182 users browsing this thread. (1297 members and 1885 guests) Woh! A record hits I guess - What a robust SERVERS LOAD BALANCING-Bravo JF Sys Admin.
 
Back
Top Bottom