tatizo kubwa la wapiga kura wa ccm ni hawajui kusoma wala kuandika na ndiyo maana hawajui mipaka yao ya kufungua kesi.wanachojua ni kupewakhanga na kofia za ccm na ndio mtaji mkubwa wa ccm kwa watu hawa.
Hawa watu hajui hospital hazina dawa, shule hazina walimu,rasilimali zinaibwa na hao ccm. Wanachojua tu ni kuwa tukimpia kura wa ccm ataleta khanga na kofia uchaguzi mwingine.
Hawa watu wangejua mwenye kesi mwenyewe alishakubali matokea, wenyewe wamepewa khanga na kofia tu basi wakashaurina tukafungue kesi ya pingamizi. Wanatupotezea muda mwingi mahakamani na wananchi wa arusha wamekosa mwakilishi kwa kipindi kilefu kwasababu ya ujinga wao. Wale wanatakiwa walipe fidia hata kwa wananchi wa jimbo la arusha. Serikali inapoteza hela nyingi sana kwa ajili ya wajinga wachahe ambao ccm haitaki kuwasomesha ili wajitambue na wajue haki zao.
mtaji mkubwa wa ccm ni umaskini na ujinga wa watanzania kama waliofungua pingamizi dhidi ya lema.