Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

wana PM7 tuungane katika kushangilia ushindi wa kamanda Lema..."ukiona huwezi kushindana nao ungana nao"
 
Nasikia tayali jembe limekalia kiti kweli jamani nipeni riport
 
Sasa Zitto Kabwe itakuwaje tena, ataendelea kutafuta urais?
 
kwa anayeipenda CHADEMA ataliunga mkono, vp kuhusu lile trekta? vp kile kiwanja kule kisongo kilichotolewa kwa ajili ya kujenga hospital? Tunataka na ile Machinga Complex ijengwe sasa.
PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEES!!!!!
 
Ama kweli haki ya mtu haipotei kweli chadema ni sauti ya Mungu hongereni wana chadema Mungu kasikia sara zangu maana nimemwambia nataka lema ashide asante Yesu.
 
uwiii . zizi limeingia simba.
lema ni kamanda mkubwa.
hahahahah(kama le mutuz)
 
wana PM7 tuungane katika kushangilia ushindi wa kamanda Lema..."ukiona huwezi kushindana nao ungana nao"
Mbona muasisi Ben Saanane alishaenda mahakamani mapema tu.
 
Pongezi kwa mawakili waliosimamia kuanzia mwanzo mpaka mwisho Big up Kamanda Lema na hongera kwa makamanda wote popote walipo Peoplessssssss Power
 
kwa anayeipenda CHADEMA ataliunga mkono, vp kuhusu lile trekta? vp kile kiwanja kule kisongo kilichotolewa kwa ajili ya kujenga hospital? Tunataka na ile Machinga Complex ijengwe sasa.
PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEES!!!!![/QUOTE]


POWEREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!
 
Naombeni mtujuze safari ya kwenda arusha
yep tunaondoka kesho ila kwa mguu - vpi upo tayari? tunaiita safari ya ukombozi, njiani pia tutakuwa na kazi ya kufungua matawi as we move on.
 
Jamani mmenionea wapi huyu jamaa?

avatar23356_6.gif
 
jaja jaja jaja jaja jaja Sijui hapa Nape atakuja na Taarabu gani tena!Saa 6 naanza kupata viroba na Safari hadi mwakani.Halafu hawa wakuu kina Ritz, Chama na Tutentemeke leo kimya!Poleni Magamba.
mkuu Ritz yupo, hao wengine sina uhakika.

hapo kwenye viroba sikusapot, piga kaz mwana
 
Hakika mheshimiwa hakimu amenipa zawadi ya xmass nikitoka hapa nakwenda kununua wine nzuri kusherekea zawadi hii kabla ya boxing day!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
safi saaaaan yericko kwa kutuletea news ya muhimu, wana chadema wa R chuga tujipange kumpokea kamanda..... Piiiiiipooozz!!!
 
hongereni wakili wa lema kusimamia kesi kwa vifungu vya sheria,mungu awape hekima ktk masuala ya ukombozi wa mara ya pili dhidi ya black wala nchi,viva chadema.na kwa wana mabadiliko wote wenye kupenda usawa,nawasilisha,
 
Back
Top Bottom