Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 762
hawa waliofungua kesi wafukuzwe Arusha na wapigwe ban ya kuingia mahali popote pale
leo tulikuwa tunavaa sare sare maua !
Wadanganye wapumbavu wenzako lakini wenye akili zao wanajua jinsi gani mnalihitaji jimbo la Arusha Mjini kuliko jimbo lolote nchini....Mkuu CCM ni zaidi ya ubunge wa Arusha!
Chama
Gongo la mboto DSM
Hivi Kamanda Lema kurudishwa mjengoni ile hoja ya waziri mkuu Pinda kusema uongo itafufuliwa? Maana spika Makinda alisema kwa kuwa Lema alivuliwa ubunge basi hoja yake imekufa!