Mh Lema tafadhari ukamkumbushe spika, mwambie watanzania wanasubiri mwongozo, juu ya waziri mkuu kusema uongo. Halafu tungeni kanuni itakayotoa limit ya muda ambao spika atalazimika awe ametoa mwongozo maana naona ndio imekuwa kinga yao wanaposhindwa na hoja.Hivi Kamanda Lema kurudishwa mjengoni ile hoja ya waziri mkuu Pinda kusema uongo itafufuliwa? Maana spika Makinda alisema kwa kuwa Lema alivuliwa ubunge basi hoja yake imekufa!