Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Safi sana, maji na mafuta hayakaa pamoja.................... Ukweli ni ukweli tu siku zote....
 
Ile hoja ya Lema kuwa Mh. Waziri Mkuu aliliongopea Bunge lazima irudi Bungeni...Maaana mama Kisabengo alisema, kwakuwa Lema aliyeanzisha Hoja eti alikuwa si Mbunge tena, basi na hoja ilikufa...
 
M4C ni tishio kuliko ubunge wa LEMA!pendekezo mh.nassari asimamie kazi za ubunge arusha,LEMA aendelee na M4C
 
Nahisi Zitto na masalia watakuwa wapo wanataga mayai maana walitaka lema ashindwa

Now CDM is getting stronger

Peopleszzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz

Mkuu, huo ndio ukweli. Ila kwa kuwa hawana lolote, wameshindwa kufanya kazi waliokabidhiwa basi wajinyonge. Kila la kheri Lema, Bravo Chadema.
 
Hapa ndipo unapooona fikra za Chama tawala zimefikia mwisho,ni kweli kuwa Lema alifukuzwa ubunge kwa sababu za kisiasa na wala sio maamuzi ya mahakama bali ulikuwa ni mpango uliopangwa na watawala na hili wote tunajua.Watawala walifanya hivyo wakiamini kuwa Lema nje ya Bunge ATA EXPIRE na atapoteza umashuhuri na washabiki wake watakosa pa kushika,tofauti na kama ingekuwa Dar ambapo watu huko ni kama binzari leo wa kijani kesho wa pepo pawa keshokutwa wako kwa Lipumba, wananchi wa Arusha waliendelea kumsaport na kumuunga mkono kamanda wao kwa Kasi kubwa zaidi.

Watawala nao wanaona na wameshtuka na wameamua kuwa madhara ya Lema nje ya bunge ni makubwa sana kuliko akiwa bungeni kwa sababu ya bungeni yanamalizwa bungeni na Makinda ana kazi maalum pale kulinda maslahi ya Kijani na kukandamiza wapinzani.

Sasa watawala wameona njia rahisi ya kumdhibiti Lema ni kumrudisha mjengoni na kwa nguvu ile waliyonayo wameamua Lema arudi mjengoni ili asiwe na nafasi ya kuzunguka Lindi na Mtwara ,London na USA kufanya kazi ya M4C

Angalieni sana msije kuwa mnashangila ushindi wa Lema kunyamazisha na magamba.
 
jaja jaja jaja jaja jaja Sijui hapa Nape atakuja na Taarabu gani tena!Saa 6 naanza kupata viroba na Safari hadi mwakani.Halafu hawa wakuu kina Ritz, Chama na Tutentemeke leo kimya!Poleni Magamba.
 
Afadhali Lema ametuletea stori mpya za faraja kuzima upuuzi ulioletwa kwa siku mbili tatu na wale watoto wa BAVICHA.. Hongera sana LEMA
 
Demokrasia Tanzania inazidi kupata mwelekeo mpya, wanachama wa vyama vya siasa wanapaswa kuwa makini sio kukurupuka na ushabiki utakao waingiza matatani kama hawa wa magamba

kweli kabisa,hawa kama chama chao hakitawasaidia kulipia hizi gharama,watakua ktk wakati mgumu wa kupigwa mnada hata vibanda vyao.
 
WANGA WA MASALIA HUKU NA KULE PAMOJA NA ZITTO WAO TUNAWAPA DOLE LA .......(NAOGOPA BAN)

""WANACHOTAKA PM7 & ZITTO CHADEMA IPATE TABUUU,RAHA KIDOGO TUH CHUKI BILA SABABUUU,,,,AAH TUNAJUA LEMA HAYA TUMEYAKABILI PIA MWAMBIENI ZITTO YA KWAMBA JEURI ZAKE DAWA YAKE NI KIBURI TUH""

TUMCHEKENI ZITTO LIKE...
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:


AKILI ZAKE ZITTO NA WANGA WENZAKE NI,,

:loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco:


TUSHEREHEKEE USHINDI KWA TAMBO NA JEURI LIKE,,

:msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela:



TUWAONESHA YA KWAMBA CHADEMA NI IMARA NA BADO SLAA NDIO RAIS WETU MTARAJIWA NA SIO ZITTO MSHIRIKINA KWA ISHARA ZA KIHARAKATI LIKE,,


😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:


CHADEMA MOTO CHINI,CHADEMA MOTO CHINI CHADEMA MOTO CHINI.....
 
Naomba kujua, nani anatakiwa kulipa garama za kesi ni CCM au wale waliofungua kesi hii?
 
Mungu ni mkubwa. Aibu imempata jaji rwakibalila na familia yake.kama kweli jaji aliagizwa na ikulu amvue ubunge ema, basi ata hao waliotoa maelezo nao dhambi iwapate. Raslimali za nchi zinapotea kwenye mambo yasiyo ya msingi yani umbea,fitina na siasa chafu

Napendekeza km sheria zinaruhusu jaji rwakibalila afukuzwe kazi au ashitakiwe kwa kutoa hukumu za kupika (uongo) na kusababisha haki kuchelewa!
 
Back
Top Bottom