Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Hakuna kinachoshindana na nguvu ya Mungu. Hongera LEMA hongera CDM.mapambano yanaendelea.
 
Haki ya nani hii thread haikamatiki ina mbio balaa,kila niki refresh zinaruka page kama saba,duh mdosi ataifumania sasa wallah!!!Lemaaa kamanda hongera sana.
 
uzuri wa kuanza na mungu unamaiiza na mungu shaaaaaaaa.
hongera M4C
hogera kamanda lema
 
leo ni mwisho wa dunia kwa chama chetu
hongera sana lema
mahakama ya rufaa huwa nawaaminia siku zote
xmass mbaya sana kwetu sisi mabwepande
 
Peopooozzzzz!!!!!
CDM haichafukiki!!!!!!!!!!!!!!!

JK , ZZK na wanahoma wenige chaali!!!!!!
 
Kaka pamoja xana.xaxa wana arusha tujipange upya kuendeleza chama na nchi kwa ujumla.peopleeeeeeeeeeeessssss!!!!
 
ulinzi uimarishwe kwa kamanda lema sio watu wote wana furahia hii sura nyingine zina huzuni .ulinzi sio wa jeshi la polisi makamanda wengine wapewe kazi maalumu ya kuimarisha ulinzi na mienendo ya watu wengine wanaofuatilia suala hili .
 
Breaking Nyuuz!
Mingoi Kalazwa Hospitali kwa Presha ya kushuka!
Mingoi yuko njema Mingoi yuko imara mikandamizo inaendelea,naona leo mmepata kwa kupumulia teh! teh !tehh!!! lakini kifo cha CDM kiko pale pale mgonjwa wa ICU kuomba chakula sio kwamba atapona.
 
Hongera CDM. Hongera Lema. Mwendo ni uleule.
 
"JMBO LA ARUSHA LINAINYIMA SERIKALI YANGU USINGIZI....HAPANA....HAPANA...LAZIMA TUFANYE KITU PALE....!!! "

waziri-mkuu-mizengo-pinda.jpg
 
Mungu ni mkubwa. Aibu imempata jaji rwakibalila na familia yake.kama kweli jaji aliagizwa na ikulu amvue ubunge ema, basi ata hao waliotoa maelezo nao dhambi iwapate. Raslimali za nchi zinapotea kwenye mambo yasiyo ya msingi yani umbea,fitina na siasa chafu
 
Back
Top Bottom