MALI YA BABA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 459
- 119
Makamanda tuseme asante sana kwa mungu kujibu maombi yetu......hongera mh.lema mungu awe nawe daima.
Tumeshindaaaaaaa
Kijana umeanza vibaya,yaani post ya kwanza tu haueleweki
Mkuu hata kama hukusoma sheria kesi ya lema ilikuwa na magumashi kuanzia mwanzo mpaka siku ya hukumu ndiyo maana kila mwenye akili alijua Ikulu ilimhukumu lema....